Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
1 Reactions
7 Replies
238 Views
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu...
10 Reactions
124 Replies
935 Views
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na...
2 Reactions
35 Replies
519 Views
Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na...
4 Reactions
27 Replies
422 Views
■Yaelezwa uwekezaji miaka saba wa afya ulivyookoa maisha ■Ndejembi atamba UN, Samia alivyokubali wajibu wa Afrika ■Ataka mfumo bora wa fedha wa kimataifa kwa maendeleo
2 Reactions
15 Replies
295 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria. Hatua...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York.. Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa...
2 Reactions
8 Replies
360 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka waandishi wa habari kutumia fursa ya mahojiano naye kuuliza maswali magumu na yenye tija badala ya maswali mepesi...
3 Reactions
32 Replies
538 Views
Jana nasikia final submission, ili somwa, lakini sijàona aliye post mwendo, au hayo maelezo . Hivyo ikiwezekana tunaomba hiyo final submission neno Kwa Neno
1 Reactions
16 Replies
288 Views
Kuna mtu kapaka piko ili kufafanua jambo, kosa ni kupaka piko au kufafanua?
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri...
15 Reactions
103 Replies
2K Views
Kwanza ni muhimu tuelewe maana ya Demokrasia kabla ya kuutaka kujenga mfumo wa utawala ambao unakidhi matumaini yetu badala ya matakwa ya Demokrasia yenyewe. Kwanza Demokrasia ni nini? Imeelezwa...
7 Reactions
64 Replies
616 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ameagiza shule ya msingi iliyojengwa katika eneo la London, Kijiji cha Zeze, Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, kubadilishwa matumizi na kuwa shule ya...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini...
13 Reactions
18 Replies
341 Views
-Na wanaouawa ni vijana wadogo wenye ndoto zao 20th to 35 hapo. Matukio ni mengi hasa Arusha na Dsm.
2 Reactions
2 Replies
113 Views
Back
Top Bottom