Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,109
Reaction score
17,433
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.

Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
 
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
Anajihami, anajua hatakiwi so anatumia nguvu sana kubadili narrative

So lazima awe defensive
 
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.

Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
"AMANI" itoke wapi?
Kuua watu kiasi kile, tena kwa kudhamiria kabisa, baada ya kuandaa mazingira ya uhalifu; hali hiyo kamwe haiwezi kukuacha na amani.

huyu maisha yake yote yaliyosalia, hawezi kuwa na amani.
 
Hauwezi kuua na kumwaga damu nyingi kiasi kile ukabaki salama
Samia alijiandaa mapema kabisa kuwa ataua. Siyo kwamba hali ilijitokeza ghafla tu na kulazimika kuidhibiti kwa baadhi ya watu kuuliwa.

Waliouliwa wote waliuawa wakiwa wanakimbia kutoka kwa wauaji, hawakuwa wakikabiliana nao.
Mtu anakimbia kusalimisha maisha yake, tena hajakutishia kukuua wewe unamuua. Kwa nini dhamira yako isikusumbue maisha yako yote.

Samia alianza mipango ya kuua siku aliyojipitisha kwa nguvu kuwa mgombea wa CCM.

Tokea siku hiyo matendo yake na maneno yake hadi Oktoba 29 yaliashiria kuua tu.
 
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.

Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
Chadema ni mashoga hakuna wanaume, angalia kazi yao ni mipasho, kulalamika, kujizushia upuuzi na kupeana sapoti km mazuzu
 
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.

Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?

Watakufuta kwenye uso wa Dunia
 
Viongozi wote wameenda kizimkazi nahisi changamoto za wananchi aziwahusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom