Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika...
15 Reactions
89 Replies
1K Views
  • Closed
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
3 Reactions
199 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya...
3 Reactions
25 Replies
749 Views
Habari za wakat huu, Siku zinatembea sana aisee leo hii mzee wangu nikikaa nae tukaanza mijadala ya siasa Nchini.. hasemi tu anataka katiba Mpya anasema yatokee mapinduzi kabisa tena ya...
12 Reactions
17 Replies
331 Views
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je...
18 Reactions
60 Replies
1K Views
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika"...
13 Reactions
11 Replies
305 Views
Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
4 Reactions
18 Replies
389 Views
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka...
32 Reactions
129 Replies
9K Views
Sikiliza ushahidi usio na mashaka kuwa that tume was a rubbish!
2 Reactions
5 Replies
220 Views
Kigoma, Julai 20, 2026 – Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema hataogopa kuwahoji na kuwashinikiza mawaziri kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani...
9 Reactions
20 Replies
446 Views
  • Featured
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kumekuwa na jitihada za kutumia njia za mkato kushughulikia changamoto za kisiasa na kiutawala nchini badala ya kuzingatia...
22 Reactions
73 Replies
2K Views
Kinachozua maswali ni kwamba kampuni ya Vitol inadaiwa kuiuzia Tanzania mafuta kwa takribani USD 260 (Sh 689,000), wakati mafuta yanayofanana yanadaiwa kuuzwa Uganda kwa USD 83 (Sh 212,000) na...
6 Reactions
13 Replies
241 Views
Mnisamehe sana dada zangu mko hapa huu uzi utakuwa mchungu sana hasa kwa wanaotaka ufeminist na pia wale wa Mitano Tena nao Utagusa mifupa ya uti wa mgongo Toka enzi za mababu wana sababu za...
87 Reactions
160 Replies
9K Views
Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr...
8 Reactions
31 Replies
721 Views
Katika mahojiano na ayo TV, Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi, ameeleza kuwa matukio mengi ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa nchini yanatokana na migogoro ya kibiashara, uhasama wa...
0 Reactions
3 Replies
144 Views
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani...
5 Reactions
71 Replies
885 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu...
10 Reactions
18 Replies
584 Views
Jamani, napenda kueleza sifa moja ya ndege aitwaye bundi, ndege huyu pamoja na kuhusishwa na mambo ya kichawi sifa yake ya wazi ni kuzomewa na ndege wenzie pindi arukapo ndio maana nyakati za...
5 Reactions
6 Replies
230 Views
Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje. Kulingana na miongozo ya jeshi la...
2 Reactions
5 Replies
180 Views
Back
Top Bottom