Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030? Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana. Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya...
4 Reactions
9 Replies
203 Views
Tanzania’s🇹🇿 Immigration Services Department has released a list of African countries whose citizens can enter the country without applying for a visa. The move is expected to boost tourism...
0 Reactions
6 Replies
231 Views
Hivi kweli Hawa polisi wa Tanzania wakutuhumu, kumuua mwenzao alafu wakishikikie siku 21 alafu wakupeleke mahakamani na upewe dhamana ukalale na Mume au mkeo? Hii nchi ccm inatupeleka pabaya...
1 Reactions
4 Replies
218 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa ujumla kudumisha amani na usalama ili kuchochea maendeleo Akizungumza leo Julai 20...
2 Reactions
63 Replies
972 Views
DAR ES SALAAM – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amefanya mazungumzo muhimu na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mheshimiwa Wang Yi, Ikulu jijini...
0 Reactions
3 Replies
233 Views
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE...
14 Reactions
17 Replies
453 Views
Flashback: Kumbuka hili ni Shauri la kikatiba Na. 7300 lililofunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na...
11 Reactions
18 Replies
983 Views
Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
11 Reactions
22 Replies
756 Views
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri. Sina la kusema.
18 Reactions
47 Replies
743 Views
  • Redirect
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MZEE JOSEPH BUTIKU WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano...
1 Reactions
– Replies
– Views
It is worthy pointing out at this stage that deliberation of this ground of complaint will touch an area which has concurrent finding of facts of the two lower courts We are mindful of the fact...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani? Pia soma, Mradi wa BBT kwa...
16 Reactions
167 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Handeni, kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, John Heche, akae pembeni ili kupisha uchunguzi kufuatia uwepo wa tuhuma za...
1 Reactions
7 Replies
150 Views
Why CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption...
2 Reactions
27 Replies
448 Views
Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika...
15 Reactions
89 Replies
1K Views
  • Closed
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
3 Reactions
199 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya...
3 Reactions
25 Replies
749 Views
Habari za wakat huu, Siku zinatembea sana aisee leo hii mzee wangu nikikaa nae tukaanza mijadala ya siasa Nchini.. hasemi tu anataka katiba Mpya anasema yatokee mapinduzi kabisa tena ya...
12 Reactions
17 Replies
331 Views
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je...
18 Reactions
60 Replies
1K Views
Back
Top Bottom