Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au...
19 Reactions
134 Replies
11K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar kaagiza Magari yote yarudi Kituo cha mabasi au kituo kikuu cha Dar. Ajabu sehemu ya kuegesha imekosekana. Unaelekezwa ukitoka Kigoma ukashusha abiria uondoke Mabasi mengine...
6 Reactions
52 Replies
983 Views
Serikali imeendelea kuiandama familia ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu UDOM alie pewa kesi ya Ugaidi baada ya kuikatia huduma za mhimu familia hiyo. Taarifa iliyotolewa na M/kiti wa UDASA baada ya...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji...
3 Reactions
75 Replies
830 Views
Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza...
5 Reactions
24 Replies
613 Views
Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
0 Reactions
6 Replies
226 Views
Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa. Mfano huo naweza kuutumia kwa...
0 Reactions
14 Replies
200 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuwa na Maneno mengi sana Embu Soma hapa 👉 Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya...
2 Reactions
102 Replies
955 Views
20 August 2026 Asmara, Eritrea ERi-TV, Eritrea - Open Mic - Interview with Prof Mohamed Yakub Janabi - WHO Regional Director for Africa ERi-TV August 6, 2026...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Maandamano hayo yaitishwe nchin nzima ambapo Watanzania wote ambao wanaunga mkono msimamo wa Lissu kupinga rasilimalinza taifa hili kunyonywa washiriki. Mabango yaliyoandikwa No reform no...
2 Reactions
4 Replies
84 Views
Stendi ni mradi wa kunufaisha Serikali na kuibia wasafiri Kwa tozo plus kuongezea gharama za usafiri Wananchi. Wewe maskini kushadidiq stendi ambayo Haina faida kwako ni ujinga wa Hali ya Juu...
14 Reactions
68 Replies
591 Views
"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn...
14 Reactions
21 Replies
375 Views
Mimesahau, lakini kuna kitu alikisema. Muwe na usiku mwema
0 Reactions
5 Replies
149 Views
Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all...
7 Reactions
13 Replies
202 Views
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika...
7 Reactions
115 Replies
773 Views
Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
4 Reactions
21 Replies
877 Views
Ndugu zangu Watanzania, Popote Ulipo Rais Samia anakufikia ,Rais Samia anamhali Mtanzania mmoja mmoja bila kumbagua yeyote yule. Kwake Rais Samia Mtanzania ndio kipaombele chake. Ni katika Msingi...
1 Reactions
4 Replies
122 Views
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, ni wakili mkuu wa serikali kwenye kesi ya Lissu. Wakili huyu amekuwa akionyesha dharau, kiburi na maneno ya majivuno Kwa Tundu Lissu. Nilimtahadharisha kuwa awe...
57 Reactions
189 Replies
14K Views
..jamani huyu askari wetu naambiwa alifariki na kuzikwa Msumbiji. ..mchango wake ktk vita vya ukombozi Msumbiji ni vizuri ukawekwa wazi. ..naambiwa marehemu Field Marshal Samora Machel, Raisi wa...
2 Reactions
65 Replies
18K Views
Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
15 Reactions
25 Replies
957 Views
Back
Top Bottom