Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,278
- 37,073
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania