Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu Misimamo yako iangalie kwa jicho la tatu kipi bora utoke uendelee na mishe zako? Au ubakie gerezani? Mpaka hapo Ulipo kesi imekuelemea na Chances za wewe kushinda are slim...
0 Reactions
30 Replies
312 Views
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo...
13 Reactions
83 Replies
2K Views
Leo vijana wa ccm waliokua wanamtukana Mbowe matusi yote mpaka akapewa kesi ya Ugaidi lakini leo wanakula matapishi yao na kumtetea kwamba ni mwanademokrasia ya kweli wanasahau huyu waliwahi...
5 Reactions
13 Replies
132 Views
Anaandika Askofu Bagonza Kalikawe Lwakalinda Taifa linahitaji Maridhiano. Yawe ya kweli au ya hila, ni muhimu kutambua makosa matatu ya kimkakati yaliyotupokonya fursa na sifa nzuri ya taifa...
3 Reactions
10 Replies
120 Views
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo...
40 Reactions
57 Replies
1K Views
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya...
2 Reactions
28 Replies
454 Views
Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants. Kwanin nasema...
8 Reactions
19 Replies
503 Views
Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu. Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka. Msifikiri...
6 Reactions
5 Replies
82 Views
Hivi tarehe 29/10 itafika na kupita mkiwa kimnya kimnya? Zi wapi BUSARA ZENU?kweli mnataka hiyo tarehe na siku ifike iishe hivyo hivyo ? Hakuna hata yoyote aliyeua akaomba radhi?achana na kuomba...
0 Reactions
11 Replies
84 Views
wala sijashituka na maamuzi ya leo. That was the obvious! And many "OBVIOUSNESS" WILL HAPPEN. Time will tell! Keep this post
3 Reactions
5 Replies
97 Views
Niombe mpokee radhi yangu. Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama. Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena...
5 Reactions
8 Replies
133 Views
Kama CHADEMA na watu wanaomuunga mkono wangetengeneza slogan moja rahisi, kwa mfano #FreeTunduLissu, halafu kila siku ikaonekana kwenye mitandao kwenye post za viongozi, taasisi, mastaa...
3 Reactions
7 Replies
100 Views
Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado...
19 Reactions
52 Replies
734 Views
Friends and Enemies, Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu. Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha...
-4 Reactions
55 Replies
562 Views
Sifa, Kiburi, Jeuri. Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana. Unadhani watakukumbuka? Haha . Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya...
9 Reactions
60 Replies
731 Views
Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats. Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano...
0 Reactions
4 Replies
88 Views
Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga. Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA...
1 Reactions
3 Replies
66 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, akihutubia wanachama katika mkutano wa chama hicho, amezungumzia Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, ambaye amemwambia kuwa aendelee kupeleka moto...
0 Reactions
7 Replies
155 Views
Back
Top Bottom