Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all.
Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara. Wala wasiwe na papara ya kuitisha maandamano haraka. Wanachotakiwa kwanza wainstill passion kwenye mioyo ya watanzania. Wakishajihakikishia somo limefika kwa watanzania wote basi hapo ndio waitishe maandamano ya nchi nzima kupinga huu udhalimu, mauaji, utekaji na udhalilishaji unaofanywa na CCM kwa kutumia vyombo vya dola.
Uzuri hii dhuluma inayofanywa na ccm kila mtanzania anaiona, kwa hiyo haitakuwa kazi kubwa kuwaelewesha watanzania kupigania haki yao. So hapa kinachotakiwa kufanyika ni kuamsha tu hiyo ari kwenye mioyo ya watu ili nchi ilipuke zaidi ya October 29.
Rai yangu kwa CHADEMA wajiweeke timeframe ya hata miezi 3 kutoa elimu kwa waandamanaji na kuamsha ari ya kupambania haki yao.
Lugha ya kuzungumza na CCM ni lugha ngumu tu. Hakuna maridhiano na hawa mashetani.