Kosa la rais Samia ni nini?

Kosa la rais Samia ni nini?

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
541
Reaction score
648
Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa.

Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua, kudhoofisha neema na mazuri mengi ambayo Mh.Dr.Samia Suluhu Hassan ameyafanya na anayoendelea kuyafanya katika ustawi wa Tanzania.

Hakuna atakayekosa ushahidi wa picha ,namba au idadi ya hatua kubwa alizopiga katika ujenzi wa Taifa letu .

Wale watu maalumu waliojikusanya na kujipanga katika kuharibu taswira hiyo ,ni wanapaswa waulizwe kosa la Rais Samia ni nini??
Je ni kumwaga ajira kama njugu, je kuilowesha Tanzania kwa miradi kemkem ya maji ,Je ni kuipa nuru Tanzania kwa miradi ya umeme vitongonijini,je kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Je ni kupandisha madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma, je ni kutoa mikopo kwa wajasiriamali vijana na wanawake,je ni bima ya afya kwa wote, nishati safi, ujenzi wa mashule hopitali, zahanati na vituo vya afya kila kata, ukweli ni kwamba ya kuelezea yapo mengi mwenye macho ajionee.

Ipo siku tutamkumbuka na kusema naam tulipata Rais bora kuwahi kutokea.
Namalizia kwa kusema :

“Bahari haitulii kwa sababu ya mawimbi; mwenye safari huendelea na jahazi lake.”

Mheshimiwa Rais endelea kulisongesha jahazi lako.

Augustino Chiwinga
LINDI
 
1746040176686.jpg
 
Samuya sio Dr, acha upotoshaji...aliusomea chuo kipi & kwa akili zp alizonazo?!
 
Ni mwuaji, ameua Watanganyika zaidi ya elfu 10.
Wachimbaji wadogo wa dhahabu kanda Ziwa wanafukuzwa migodi wanapewa Wachina .
 
Kama unaona hana kosa basi makosa yake na adhabu yake uibebe wewe siku ukifa
 
Ni mwuaji, ameua Watanganyika zaidi ya elfu 10.
Wachimbaji wadogo wa dhahabu kanda Ziwa wanafukuzwa migodi wanapewa Wachina .
Kabla ya kuwauwa hawa 10,000 kosa lake lilikuwa nini mpka wakaandamana , maana kuuwa ni matokeo sio chanzo.
 
Kama watu hawakupendi haijalishi umewafanyia nini hata kama umewawekea pesa mifukoni mwao, ustaarabu ni kukubali tu hukubaliki. Watu wanaweza wasikukubali bila sababu yoyote ile, huwezi kulazimisha kupendwa.

Hili ndio kosa kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom