John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,561
Reaction score
39,542
"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn

John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu michezo utaisha vipi.
 
..Ssh na Steve pia ni hardliner, hawataki kuomba msamaha, wala maridhiano.
 
kwanini mpige magoti kwa mfano heche?

nadhani ni muhimu zaid wewe heche kuwapigia magoti wajumbe wa baraza kuu la chadema taifa ambao ni wazi wanakwenda kukubandua uongozini september 15. Wamekataa ufisadi wako ndani ya chadema :NoGodNo:
 
Ni nguvu ya kunya tu ndio itaondoa hawa wakoloni weusi. Nikumobilise watu na kuwakusanya kama milioni hivi na kwenda kuzingira ikulu zote nchini na kunya kwa pamoja nakuwaachia milima ya kimba na harufu mbaya. Yafe tu yote.
 
..Ssh na Steve pia ni hardliner, hawataki kuomba msamaha, wala maridhiano.
There must be a better word/term for these, than being mere "hardliners".

Hata 'hardliners' wanaweza kuwa na uamini wa wanachokisimamia kuwa na manufaa kwa taifa. Hawa kwenye 'calculas' yao hakuna chochote kinacholenga kunufaisha taifa hili at this point.
 
Umetumia visivyo sahihi hilo neno la "hardliners". Watu 'principled' hawawi 'hardliners' kwa kusimamia wanachokiamini ambacho kwa bahati nzuri ndicho kilicho sahihi.
Asante kwa ufafanuzi na kunisahihisha. Nimepokea 🙏
 
kwanini mpige magoti kwa mfano heche?

nadhani ni muhimu zaid wewe heche kuwapigia magoti wajumbe wa baraza kuu la chadema taifa ambao ni wazi wanakwenda kukubandua uongozini september 15. Wamekataa ufisadi wako ndani ya chadema :NoGodNo:
Nabii tito umesema nani mwingine apinge?

Ila veggies imekula hasara kuanzia juu mpaka chini..!! Pity
 
Serikali imemfuata lissu zaidi ya mara 3 kumuomba akubali kuomba Radhi kwa Serikali dhalimu ili aachiliwe huru. Mwamba akagoma . Sasa Serikali dhalimu ambayo haikuchaguliwa kwa demokrasia inamkomesha. Ila watanzania tupo macho tunashuhudia yanayotendeka . Mtaua sana,mtateka sana lakini mapambano bado yataendelea.

N.B matako yako mimi siyo John Heche
 
Nabii tito umesema nani mwingine apinge?

Ila veggies imekula hasara kuanzia juu mpaka chini..!! Pity
tuliza ball bas mambo bado hata hayajaanza,

relax na uache mchecheto mtumishi 🐒
 
Serikali imemfuata lissu zaidi ya mara 3 kumuomba akubali kuomba Rashi kwa Serikali dhalimu ili aachiliwe huru. Mwamba akagoma . Sasa Serikali dhalimu ambayo haikuchaguliwa kwa demokrasia inamkomesha. Ila watanzania tupo macho tunashuhudia yanayotendeka . Mtaua sana,mtateka sana lakini mapambano bado yataendelea.

N.B matako yako mimi siyo John Heche
relax gentleman,
and try to organized na itapendeza zaidi 🐒
 
Majaji wasiotenda haki hakika mwisho wao huwa sio mzuri niko na mfano wa jamaa yangu alikuwa na mkwewe ni jaji lakini alikumbwa na kiharusi hawezi kuongea wala kutembea lakini naelewa kuna mahali hakutenda haki sio bure yawezekana alitoa hukumu kwa mashinikozo matokeo yake yakamrudia na huwa inaenda mpka kizazi cha nne
 
Back
Top Bottom