Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wenzetu mtujuze na ilifanyaje?
1 Reactions
19 Replies
230 Views
  • Featured
TAARIFA YA AWALI YA CHAMA JUU YA KINACHOITWA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga vikali kinachoitwa matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea...
0 Reactions
11 Replies
136 Views
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Watapanda kizimbani na kula kiapo na mara mmoja wataanza kupigwa Spana kama kawaida, haijalishi cheo cha mtu wala wadhifa wake Kwa Maelezo zaidi soma hapa
12 Reactions
45 Replies
513 Views
Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa...
4 Reactions
11 Replies
247 Views
Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
1 Reactions
4 Replies
176 Views
Unaambiwa jamaa kajilinda dk zote tisini akimeza mashambulizi ya timu pinzani . Kwenye dk za nyongeza tano kasimamisha sub hatari 1. Straiker: Samia! 2. Winga: Philipo 3. Midfielder: Majaliwa 4...
12 Reactions
28 Replies
648 Views
Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na...
0 Reactions
4 Replies
213 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara...
2 Reactions
8 Replies
166 Views
  • Featured
Jana Jumamosi tarehe 15, Agosti 2026, makala ya CNN kuhusu mauaji ya Watanzania wasio na silaha wala hatia yoyote ile, imeshinda tuzo ya Salute to Excellence, ya taasisi ya NABJ. Uchunguzi huo...
88 Reactions
125 Replies
3K Views
Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa. Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi. Rais Mstaafu Tanzania Benjamin...
1 Reactions
0 Replies
78 Views
Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize. Bwana waziri ana ukwasi kiasi...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala...
7 Reactions
32 Replies
532 Views
Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote...
4 Reactions
101 Replies
4K Views
Back
Top Bottom