Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia chaguzi zetu za ndani (kura za maoni) ngazi ya Serikali za Mitaa hakika moto umewaka, uliye nje huwezi jua! Kama hawa wenyeji wenye ndugu jamaa na marafiki na michezo yote wanaijua...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Tayari baadhi ya makada tumewasili hapa mkoani Lindi kuja kumpa ushirikiano ndugu yetu Bernard Membe katika azma yake ya kutangaza nia ya kugombea urais. Makada wengi wamefika hapa Lindi...
2 Reactions
878 Replies
91K Views
Nawasalimu Wana JF Nawajulisha kuwa nimefatilia kwa karibu sana mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa ngazi ya Wenyeviti na Wajumbe wake uliomalizika usiku wa kuamkia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi hakuna jambo lolote linalohusu masuala ya kifedha linalofanyika wilayani Itilima bila kuwa na harufu ya upigaji, tangu watu wamalize uandikishaji hawajapewa fedha yao, ukiwauliza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu Mwita waitara ni aibu na fedheha hata kukupa jina la mheshimiwa naomba nikuite Ndugu tu. Kwa urubuni na maneno uliyotumia ukiwa mpinzani 2015 na kwa dhati ya moyo wako ulijua fika ukabila...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
MOROGORO NYUMBANI. Leo 08:30pm,19/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini maji ni changamoto,umeme nao mita kadhaa kutoka mjini bado ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kupoteza muda na wasioaminika akina Mbowe na genge lake ama amina Zitto kusema upige kura kinyume na kuwapa wezi walioji camouflage kwenye kuikosoa serikali na wao wana vinanzi ndani ya macho...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke, Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema...
34 Reactions
179 Replies
14K Views
Wakati vuguvugu la Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 likianza chini kwa chini, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema yupo tayari kugombea urais ikiwa vyama vya upinzani vitampa...
55 Reactions
625 Replies
76K Views
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa...
6 Reactions
55 Replies
9K Views
Mzee James Ndalilwa na Anna Ndalilwa walijaaliwa watoto watatu,Mtoto wao wa kwanza alikua na jina la Sikudhani,Mtoto wa pili aliitwa Bahati na mtoto wa tatu alijulikana kwa jina la Mashaka.Wazazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sioni umhimu wa uchaguzi wa 2020 bwana mkubwa alipaswa aendelee kutumbua tu Na kupiga kazi Kama uchaguzi utafanyika ni matumizi mabaya ya pesa huyu alipaswa aendelee kuongoza akiamua kung'atuka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ameyasema hayo alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha East Africa Breakfast Leo kinachorushwa na kituo cha redio cha East Africa. "Mwenyezi Mungu akitupa Uhai 2020 nitagombea, ila nitagombea...
7 Reactions
116 Replies
14K Views
Naomba kujuzwa tu maana nijuavyo ccm walikuwaga na utaratibu wao maalum kwa mujibu wa katiba yao,wale wenye nia walikuwa wanachukuwa form na kupigiana kura ndani ya chama chao.je wataifuata katiba...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Tundu lissu alishambuliwa kwa risasi 36 na zikampata 16 mchana kweupe eneo linalokaliwa na viongozi wa serikali lenye ulinzi 24/7, akiwa kwenye shughuli za kibunge. Mpaka leo hata mtuhumiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona thread nyingi zikimponda huyu na kumsifia yule kuhusu uchaguzi wa uraisi 2020.. nikapata wazo , kwanini tusijadili bila ushabiki wa vyama vyetu , kwa maslahi ya taifa letu kwanza kwani...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
Kuna watu wanahusisha kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lisu na mbio za urais kwa mwaka 2020. Na miongoni mwa watu hao ni viongozi wa juu wa Chadema. Hivi kweli Lisu ana ushawishi wa kuweza kuwafanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vigezo anavyotakiwa Kuwa navyo Ni pamoja na 1.Atuambie ni hatua gani mpya atakazochukua za kumaliza kabisa suala la ufisadi ambalo bado linaonekana kutajwa lipo.Atuambie atavitumiaje vyombo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuachane na propaganda sasa,tangu Uhuru nchi yetu imekuwa inaongozwa na wataalam kutoka fani kama za ualimu,wandishi wa habari na nk Pamoja na juhudi zao hakuna linaloendelea katika sekta ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom