Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Micro IQ

Micro IQ

Member
Joined
May 13, 2018
Messages
74
Points
150
Micro IQ

Micro IQ

Member
Joined May 13, 2018
74 150
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,

Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,

Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,

Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.

Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
 
faru rajabu

faru rajabu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2019
Messages
117
Points
250
faru rajabu

faru rajabu

Senior Member
Joined Jul 13, 2019
117 250
mm nitakuwa na wewe pale tu atakapotupa malimbikizo ya annual increment zetu na kutupandisha madaraja,hatukatai miradi mikubwa anayofanya hongera kwa hilo,ila kama matumizi yanakuwa makubwa hadi mambo mengine tuyakose sasa hapo sipo nae kwa kweli,yani kwa kuwa baba unanunua smartphone ndo familia isile???HELL NOOOO 😕 :mad:
 
Micro IQ

Micro IQ

Member
Joined
May 13, 2018
Messages
74
Points
150
Micro IQ

Micro IQ

Member
Joined May 13, 2018
74 150
mm nitakuwa na wewe pale tu atakapotupa malimbikizo ya annual increment zetu na kutupandisha madaraja,hatukatai miradi mikubwa anayofanya hongera kwa hilo,ila kama matumizi yanakuwa makubwa hadi mambo mengine tuyakose sasa hapo sipo nae kwa kweli,yani kwa kuwa baba unanunua smartphone ndo familia isile???HELL NOOOO :mad:
Lini hizo Annual increment unazosemea mliwahi kusema zinatosha, ata wakiwapa na kuwapandisha madaraja bado hamtakosa visingizio,
Kikwete aliwapa kila kitu na bado mlimtukana na kumwita dhaifu, kwa sasa tumepata Jiwe, Chuma cha pua.

Go JPM kwa sasa ni muda wa Kujenga nchi mambo mengine yote ni Ziada tu.
 
elivina shambuni

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
319
Points
250
elivina shambuni

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
319 250
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,

Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,

Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,

Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.

Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
nipo hapa bila kupepesa macho
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
1,874
Points
2,000
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
1,874 2,000
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,

Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,

Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,

Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.

Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
serikali yahaha kumsaka KIGOGO
 
faru rajabu

faru rajabu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2019
Messages
117
Points
250
faru rajabu

faru rajabu

Senior Member
Joined Jul 13, 2019
117 250
huyu lazima ni KADA katumwa aje ajue ni kipi kitafanya tuungane nae,NI HIVI,TUNAUNGA MKONO MIRADI YOOOOTE ILA IFANYIKE KWA NAMNA AMBAYO MAMBO MENGINE YATAENDA,SASA MA MIRADI MAKUBWA BUT VINGINE HAVIENDI HAILETI SENSE KABISA,TEKELEZENI KWA PHASE MAENDELEO HAYANA MWISHO,HATA MAREKANI BADO WANATAKA MAENDELEO JAPO MATAJIRI,HATA UKUTA UNAJENGWA KWA STEP,KWANI WANGESHINDWA KUUJENGA FASTER UKAISHA???TWENDE TARATIBU TUSIJE TUKAKIMBIA MPAKA TUKAPITILIZA NYUMBANI

OVA
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
16,039
Points
2,000
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
16,039 2,000
Kwa naiaba ya wakulima wa korosho, wafanyakazi , wafanya biashara, waandishi wa habari, ndugu najamaa waloopotelewa na ndugu zao, haingii akilin Matajiri walie hali ngumu... Na masikin bado pia walie hali ngumu.

Eti ujanja anaotumia, nikuwaaminisha maskini kua siku hizi kuna Haki.,,ukienda hosp kuna heshima, no rushwa.... Nani kasema Mtu anakula Haki???? Toka lini mkulima akala Heshima???

SIENDI NA JPM !!.
 
Forum statistics

Threads 1,335,212
Members 512,271
Posts 32,499,239
Top