Uchaguzi 2020 Je,Tundu Lissu ni presidential material?

Activist93

Member
Jun 30, 2019
19
13
Kuna watu wanahusisha kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lisu na mbio za urais kwa mwaka 2020. Na miongoni mwa watu hao ni viongozi wa juu wa Chadema.

Hivi kweli Lisu ana ushawishi wa kuweza kuwafanya watanzania kumuamini na kumpigia kura hadi Spika Ndugai amuogope na kumfanyia figisu na mtima nyongo?!

Nijuavyo mimi ni kwamba mtu kuwa na sifa za kugombea urais ni jambo moja lakini mtu kuwa na "uwezo" wa kuwa Rais ni jambo lingine kabisa.

Rais anapaswa kuwa na sifa na Uwezo wa " kutoa " uongozi kwa wananchi kama ilivyokuwa kwa mwalimu Nyerere na kama ilivyo sasa kwa Rais Magufuli.
 
Lissu anaweza kugombania Urais lkn kushinda kuwa Rais ni jambo lingine. Chadema kwa sasa siasa zimewashinda na wanafikiria karata yao katika uchaguzi wa 2020 ni Tundu Lissu.
 
Mbona aliyepo ni Rais?

Back
Top Bottom