Uchaguzi 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
250
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
250
Sasa hivi ndiye Mbunge na ndiye mkuu wa Wilaya ingawa posho na mshahara wa Mbunge unatumiwa na Vasco da Gama kwa ajili ya kuchafua serkali huko Ugaibuni

Majuto ni mjukuu Singida somo hili lisijirudie tena
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
mmesha muandaa mrundi kurudi kwao??
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
250
Endeleeni kuota
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!

Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!

Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
 
Nov 28, 2018
97
150

Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujinga
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,969

Kwa taarifa yako hakuna maendeleo yanaletwa na mbunge yoyote nchi hii. Bunge ni genge la kula hela za wananchi kisheria. Mfumo wa bunge letu unalifanya litii chochote atakacho rais aliye madarakani fullstop. Kama bunge litakuwa na muundo tofauti na huu hapo itaniingia akilini nikisikia mbunge analeta maendeleo. Kinyume na hapo ubunge hapa Tanzania ni cheo cha kuuzia sura.
 
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo

Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao

2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
 
Kwenda kwenye hilo bunge linalopanga bajeti isiyofutwa zaidi ya atakacho rais ni kupoteza muda, inabidi usiwe na cha kufanya. Kama kuna uchaguzi huru wabunge wa upinzani watakuwa wa kumwaga, ila huu uchaguzi ambao rais anapanga nani atangazwe nitashangaa wabunge wa upinzani kuwa hata wawili.
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
250
Kigoma Waziri Mkuu ana ziara kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani yule kijana wa Kibembe kutoka Bukavu 2020 ni mwisho kukalia viti Bungeni

Singida Mh Makamu wa Rais ziarani Singida kukagua utekelezaji wa Ilani pamoja na kuhamasisha maendeleo yule Vasco da Gama jimbo la Ikungi atalisikia masikioni 2020 tena alitakiwa alikose mapema mwezi uliopita baada ya kuanza maigizo Ulaya
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,782
2,000
Nenda Jimbo la Lusinde/kibajaji,nenda majimbo mengine ya hapo Singida mjini,nenda majimbo ambayo ni ngome za ccm angalia umaskini wa wananchi wake ndipo urudi kuja kuandika tena kama mtu mwenye akili timamu anayejua jinsi gani maendeleo katika sehemu mbalimbali za nchi hii yanavyopatikana.
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo

Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida

Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema

Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,782
2,000
Katika kukagua utekelezaji wa ilani anaangalia pia ni kwa kiasi gani watoto wa kike waliopata mimba wamerudi shuleni kuendelea na masomo?
Kigoma Waziri Mkuu ana ziara kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani yule kijana wa Kibembe kutoka Bukavu 2020 ni mwisho kukalia viti Bungeni

Singida Mh Makamu wa Rais ziarani Singida kukagua utekelezaji wa Ilani pamoja na kuhamasisha maendeleo yule Vasco da Gama jimbo la Ikungi atalisikia masikioni 2020 tena alitakiwa alikose mapema mwezi uliopita baada ya kuanza maigizo Ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!

Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!

Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Mimi mwenyewe nawatukana na ninakutukana
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo

Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao

2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Bunge lipi?? Au huo mkutano wa vichaa
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,380
2,000
Umetumwa na Miraji? Hakuna sehemu alialikwa hajatoa ahadi hewa. Yule ni type ya Kingu wa S. magharibi.

Hata hivyo, pamoja na kuambatana na viongozi wa ccm wilaya kokote aendapo, bado chansi ya kupitishwa ni hafifu.

Mtemi wetu ni Lissu,
Nyie CCM mtajijua, na endapo Dr. Jingu wa Makiungu atashawishika kuchukua fomu, basi Miraji atasubiri sanaa
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,872
2,000
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo

Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao

2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Kama unafurahia kuona Bunge linakosa wabunge wa upinzani, kuna mambo mawili au zaidi; kama sio mdaka makombo kutoka kwa watawala, basi utakuwa mweupe huko juu!
 
mwana wa mtemi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
374
250
Umetumwa na Miraji? Hakuna sehemu alialikwa hajatoa ahadi hewa. Yule ni type ya Kingu wa S. magharibi.

Hata hivyo, pamoja na kuambatana na viongozi wa ccm wilaya kokote aendapo, bado chansi ya kupitishwa ni hafifu.

Mtemi wetu ni Lissu,
Nyie CCM mtajijua, na endapo Dr. Jingu wa Makiungu atashawishika kuchukua fomu, basi Miraji atasubiri sanaa

Wewe kweli ni kimeng'enyo

Unataka Mkuu wa Wilaya asambaze noti kila ukimwalika kwako, unampima kwa michango! Wewe ni kizazi cha wapiga deal kaa pembeni

Sisi wana Singida haturudii ujinga kuwapa wapiga deal
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,380
2,000
Wewe kweli ni kimeng'enyo

Unataka Mkuu wa Wilaya asambaze noti kila ukimwalika kwako, unampima kwa michango! Wewe ni kizazi cha wapiga deal kaa pembeni

Sisi wana Singida haturudii ujinga kuwapa wapiga deal
Wala mimi huwa simshauri atoe ahadi hewa. Huwa namwambia, "baba mdogo toa ulichonacho, usiahidi hewa" lakini hunipuuza. Halafu yeye ni kama mwenyekiti wa ccm wilaya, ni kama hatuna DC! Ubunge pale natabiri ni Gerald Mahami wa CHADEMA vs Dr. Jingu (Katibu mkuu Maendeleo ya jamii) wa CCM. Na mshindi ni Mahami hasa kama Lissu atagombes Urais
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom