Uchaguzi 2020 Sitamchagua mwingine zaidi ya JPM 2020

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Aug 3, 2019
276
273
Ni kupoteza muda na wasioaminika akina Mbowe na genge lake ama amina Zitto kusema upige kura kinyume na kuwapa wezi walioji camouflage kwenye kuikosoa serikali na wao wana vinanzi ndani ya macho yao,Mtanzania amka ,inaweza chukua miaka 100 kumpata Rais Wa aina ya JPM a humble President a down to earth man ,jaman nawaambia msije kujuta ,chadema ambao wamekuwa wana wahubiria kwamba Tanzania I afaa kuwa hivi wameprove failure ,NASISITIZA SITAMCHAGUA MWINGINE ZAIDI YA JPM 2020.
Povu ruksa
 
Mimi nimevunja Sheria kwa kweli kwa Maslah ya Taifa

Nmeanza kampeni ngazi ya Familia ya kumkampenia Rais Magufuli

Nikiwa Kijiweni , nikiwa nyumbani nikiwa kwa Marafiki na Jamaa zangu nmekuwa mhubiri wa Mafanikio ya Rais Magufuli
 
Back
Top Bottom