Elections 2020 Ni zamu ya mfanyabiashara kuwa Rais hii

cutelove

cutelove

JF-Expert Member
2,621
2,000
Tuachane na propaganda sasa,tangu Uhuru nchi yetu imekuwa inaongozwa na wataalam kutoka fani kama za ualimu,wandishi wa habari na nk

Pamoja na juhudi zao hakuna linaloendelea katika sekta ya uchumi hasa,viwanda,biashara,na kilimo

Sasa basi ni muda mwafaka tukabadili mawazo,ili nchi hii ipige hatua,tunaomba tumchague mfanyabiashara awe Rais wa Tanzania

Faida ya mfanyabiashara, anajua njia mbalimbali za kuwekeza,kukuza mitaji,kufanya kilimo kiwe cha kibiashara,na nchi hii inaweza ikawa viwanda,mfanyabiashara ana uchungu wa kutafuta,kuingiza kuliko kutoa

Ni muda mwafaka kuwakabidhi wafanyabiashara hii nchi

Hata Industry revolution ya England ilifanywa na wafanyabiashara

Hii tengua tengua,haitatutoa hapa tulipo
 
A

August

JF-Expert Member
5,608

Nani alikudanganya kwamba industria lrevolution ilifanywa nawafanya biashara? wakati wafanya biashara hawajui science? hii inaonyesha upeo wako wa kufikiria ulivyo.

Important inventions of the Industrial Revolution included the steam engine, used to power steam locomotives, steamboats, steamships, and machines in factories; electric generators and electric motors; the incandescent lamp (light bulb); the telegraph and telephone; and the internal-combustion engine and automobile, whose mass production was perfected by Henry Ford in the early 20th century.

Read more below: The second Industrial Revolution

Haya sas tunamuandi Kaluwa awe "Urahisa"
 
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
26,655
2,000
Tuachane na propaganda sasa,tangu Uhuru nchi yetu imekuwa inaongozwa na wataalam kutoka fani kama za ualimu,wandishi wa habari na nk

Pamoja na juhudi zao hakuna linaloendelea katika sekta ya uchumi hasa,viwanda,biashara,na kilimo

Sasa basi ni muda mwafaka tukabadili mawazo,ili nchi hii ipige hatua,tunaomba tumchague mfanyabiashara awe Rais wa Tanzania

Faida ya mfanyabiashara, anajua njia mbalimbali za kuwekeza,kukuza mitaji,kufanya kilimo kiwe cha kibiashara,na nchi hii inaweza ikawa viwanda,mfanyabiashara ana uchungu wa kutafuta,kuingiza kuliko kutoa

Ni muda mwafaka kuwakabidhi wafanyabiashara hii nchi

Hata Industry revolution ya England ilifanywa na wafanyabiashara

Hii tengua tengua,haitatutoa hapa tulipo

MAFIA YA CCM HATA WANAISIKIA HII HABARI ???
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom