Uchaguzi 2020 Wabunge mliotoka upinzani mkahamia CCM, 2020 mjiandae kisaikolojia

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
757
842
Nimefuatilia chaguzi zetu za ndani (kura za maoni) ngazi ya Serikali za Mitaa hakika moto umewaka, uliye nje huwezi jua!

Kama hawa wenyeji wenye ndugu jamaa na marafiki na michezo yote wanaijua kuicheza mambo yamekuwa haya!, we mgeni ndani ya Chama mambo yamekuwaje na yatakuwaje?

Nikimfikiria ndugu yangu Mhe Mtulia, Mwita Waitara, n.k. waliounga mkono juhudi za Rais Magufuli. Waendelee pia kufikiria vile walivyopenya katika kura za maoni na katika uchaguzi ule. Najua wanakumbuka vyema ndani na nje ya sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi tulichokifanya ili washinde. Je, watapenya tena au watasubiri busara za Rais Magufuli?

Ila nikiangalia Saikolojia zao usoni, kauli zao wameanza kujiandaa kukubali matokeo.

Ila niwashauri wao na wengine wenye hulka za unafiki na usaliti wajifunze na wabadilike maana upandacho ndicho utakachovuna!
 
What goes around comes around. Ukiwa mwaminifu, uaminifu utakurudia; hivyohivyo ukiwa msaliti, n.k.
 
DOMBWELA,

Acha uongo Wabunge hao ni wazalendo halisi wana uchungu sana na Taifa hili hivyo ni muhimu CCM ikawapa kipaumbele kuliko hata wale wana CCM waliowakuta.
 
Mkianza kuwananga ndo mnaharibu, maana watapewa ubunge na uwaziri juu.
 
Yule chapii wa banana ataanza tena kuja kutupiga mizinga ya pombe na mashavu yake yaliyoumuka kama ana safura vile.
 
Back
Top Bottom