Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar 2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua...
1 Reactions
13 Replies
198 Views
My Take Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani? Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja. Hii inakuja siku...
5 Reactions
92 Replies
2K Views
Watanganyika tunajengewa kitu ambacho hatukuwa nacho! Kinajengwa na matamshi ya wazi ya wazanzibari! Sikiliza watanganyika wameanza kujitambua Pia soma Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi...
5 Reactions
5 Replies
172 Views
Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical. Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
WAZIRI MKUU: SERIKALI ITAENDELEA KULINDA UHURU WA KUABUDU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu na kuimarisha ushirikiano na taasisi za dini kwa...
1 Reactions
7 Replies
157 Views
Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la...
12 Reactions
65 Replies
1K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hakuna ubishi kuwa kilichotokea October 29, kimesababishwa na chuki iliyopitiliza!. Japo Ripoti ya Jaji Chande, imepunguza kidogo...
11 Reactions
60 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe. Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu.. Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu...
36 Reactions
108 Replies
2K Views
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
8 Reactions
27 Replies
862 Views
WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya...
7 Reactions
31 Replies
619 Views
SAME - Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi inathibitisha dhamira ya Tanzania kutofungamana na upande wowote...
3 Reactions
8 Replies
161 Views
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon. Anaandika John...
59 Reactions
197 Replies
3K Views
Wapo wanaotazama ukubwa wa Goliati kwa sababu ana mwili mkubwa, mashamba mapana, madini tele, mito, misitu na hazina nyingi. Lakini historia hufundisha kwamba si kila mamlaka hutegemea ukubwa wa...
8 Reactions
18 Replies
312 Views
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane .. Walianza hii michezo...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Hapa Tanzania , mambo ya kisiasa bado sana. Sisi bado tunapambania survival kuhakikisha unapata mlo wa Kila Leo. Hata kama watanzania waruhusiwe kuandamana bado wasingeweza na hawawezi. Huku...
0 Reactions
6 Replies
81 Views
Kama walivyosingizia kipindi kile Oktoba 29 kuwa picha za matukio ya mauji ni Ai na hizi watasema ni AI
3 Reactions
4 Replies
153 Views
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki...
3 Reactions
0 Replies
76 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…