John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,948
Reaction score
59,635
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.

Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============

Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.

Maneno muhimu kutoka kwako:

Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?

Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.

Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.

Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?

1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?

2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,

Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?

Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?

Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?

Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….

Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?

Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..

Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.

Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
 
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? = John Heche.
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
 
Hili suala sio la kulialia ili tuonewe huruma, Tanganyika peeni raia wote bima ya afya bure sisi ndo walipa kodi kubwa, kwanini wazazibar wanapewa matibabu bure wakati kodi zao ndogo sie tukalipia matibabu??
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Inawezekana, inawezekana.... ndiyo nini.
 
TEC wapo wapi
Hawa hapa..

g2FgXJ-2-a-b-09z.jpeg
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Sorry to say ila we jamaa huna akili
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Umiliki una husiana vipi na kupata matibabu. As long as wewe ni mtanzania ni haki yako kupata huduma za matibabu bila kujali ukanda.

Tukirudi kwenye suala la ajira sioingi kwamba kuna idadi kubwa ya wageni.
Bali nitaipinga kauili ilivyotolewa kuna jinsi ya kushughulikia hilo swala.
Kuajiri wazanzibari wengi nayo kuna changamoto yake. Hii naongelea kwani nimeishi nao.
 
Aisee ! kauli hizi zinanitia wasiwasi juu ya ndugu zetu waishio huko Zanzibar, watakuwa wanaishi maisha ya kiupweke sana kutokana na kubaguliwa..Kwasasa Zanzibar sio salama kwa Watanganyika wanapaswa kuwa makini itafika muda wataanza kuwaua kimya kimya..Viongozi mlioachiwa Tanzania na Baba wa Taifa ikiwa mikono salama msishupaze shingo juu ya swala hili...Kama Wazanzibar watang'ang'ania muungano uvunjwe ni bora kuwasikiliza lakini Watanganyika tusishadadie(kung'ang'nia) kuvunjwa kwa Muungano...Yote kwa Yote. MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati muda ndo huu bado hatujachelewa.
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hakuna sheha Mtanganyika, hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi Zenji, hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kuwa kiongozi Zanzibar.
Unavyokimbilia karata ya udini hivi Wazenji wameamua kuwabagua watu wa Bara kwa sababu za udini?
 
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.

Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============

Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.

Maneno muhimu kutoka kwako:

Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?

Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.

Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.

Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?

1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?

2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,

Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?

Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?

Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?

Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….

Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?

Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..

Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.

Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
hakuna sababu ya upotoshaji,

wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.

So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile 🐒
 
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.

Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============

Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.

Maneno muhimu kutoka kwako:

Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?

Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.

Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.

Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?

1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?

2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,

Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?

Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?

Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?

Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….

Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?

Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..

Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.

Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
Kama vp wa part ways kila mmoja na hamsini zake
 
Aisee ! kauli hizi zinanitia wasiwasi juu ya ndugu zetu waishio huko Zanzibar, watakuwa wanaishi maisha ya kiupweke sana kutokana na kubaguliwa..Kwasasa Zanzibar sio salama kwa Watanganyika wanapaswa kuwa makini itafika muda wataanza kuwaua kimya kimya..Viongozi mlioachiwa Tanzania na Baba wa Taifa ikiwa mikono salama msishupaze shingo juu ya swala hili...Kama Wazanzibar watang'ang'ania muungano uvunjwe ni bora kuwasikiliza lakini Watanganyika tusishadadie(kung'ang'nia) kuvunjwa kwa Muungano...Yote kwa Yote. MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati muda ndo huu bado hatujachelewa.
Kwa sasa Zanzibar siyo salama kwa watanganyika. Noted.
 
Back
Top Bottom