Nimefurah SANA Sana kusikia Baraza la Maaskofu kupitia Rais wao Tec akitoa maazimio ya kikao kilichofanyika ikulu ya DODOMA
Kwanza nawapongeza maaskofu pamoja na Rais kwa kuridhiana. Dhidi ya...
Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani...
Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume...
Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) iliyopo Mikocheni jijini Dar es...
Lissu: Kulikua na amri mliyoitoa mwaka jana siwezi kukumbuka tarehe, kwamba upande wa mashitaka ulete mashahidi wawili kila kesi inaposikilizwa, na hii amri mmeirudia tena juzi jumatano mmeirudia...
Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani,
Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe...
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea...
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini.
Kuna zaidi ya ugumu katika...
Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa...
Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza.
Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo...
Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama.
Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande...
Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu...
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI
"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu...
Habari ndiyo hiyo. Majaji wame mute na kukubali ombi hilo. Siwalaumu, hawana the other way out sana sana ni kuhairisha.
Unafikiri wangelifaya nini? Kuifuta? si rahisi kihivyo!
Delaying tactics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.