IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,352
- 1,707
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane ..
Walianza hii michezo tokea mwaka Jana kuelekea uchaguzi mkuu...
Hapo TANESCO wamekanusha kuhusika