Hii itachochea kwa kiasi kikubwa ari ya uzalendo miongoni mwa wananchi, na kuweka maslahi mapana ya waTanzania wote mbele kuliko maslahi binafsi.
Kwakuwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi...
Ndugu zangu Watanzania,
Askofu Wa Kanisa La Katoliki Msumbiji Amepigwa Risasi na Kuuwawa na watu wasiojulikana. Ambapo Mpaka Saizi haijulikani kauwawa na nani .
Jeshi La Polisi La Nchi Hiyo...
MZEE FURAHAEL TENGA; ALIYEKUZIDI AKILI HUWEZI MSHINDA KWA UJINGA WAKO. ALIYEKUZIDI UTAJIRI HUWEZI MSHINDA KWA UMASKINI WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya kitu ambacho watu wajinga na...
Serikali ya kujidanganya tu! tupo pabaya kama taifa kwa ukweli
1. Marafiki wanapungua
2. Kesi kwa Rais na wanaulinzi wetu zinatengenezwa kwasababu ya Oct 29,2025
3. Pesa za maendeleo kutoka US...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Masaga Kaloli, amesema chama chake hakina nia ya kuingilia migogoro ya ndani ya CCM, lakini kama kiongozi anayetajwa kwa jina la “Yuda Iskariote” ana dhamira...
Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nianze tahadhari hii fupi kwa misemo ya kifalsafa ili kuwapa mwaliko wa kufikiri kizazi cha “hi inakuwaje”, “ni aje”, “wari”, “ugari”, “lisaa limoja”, “Arsenal imepata matokeo” (yepi, chanya au...
Je, unafanya nini ikiwa unaongoza chama cha upinzani ambacho, kwa ukweli kabisa, hakina uwezo wa kushinda uchaguzi kwa sababu hakijawahi kuwasilisha mawazo au sera za maana kwa wapiga kura tangu...
ORODHA YA WATU 1000 MASHUHURI TZ + WAPIGANIAJI MABADILIKO
1. Viongozi & Mashujaa wa Historia ∼80
Mwalimu Julius Nyerere, Abeid Karume, Rashid Kawawa, Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Edward...
Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia
Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako
Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua...
Wengi hawakuamini masuala ya uwepo wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, na mamluki wao, waliojificha ndani ya miongoni mwa vyama vya siasa nchini, wakiwa na nia na dhamira ovu dhidi ya taifa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, yuko Kyela kwa ajili ya Kampeni ya Katiba Mpya na Free Lissu.
Kwa kadri ya...
Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?"
Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..."
Edwin Odemba...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu...
Wanabodi
Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu...
Wanabodi
Utangulizi,
Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji kwa watumishi wa umma.
Je wajua kuwa mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma nchini Tanzania,wakiwemo...
Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni...
Hiyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa Polisi kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi, wakubebwa na magar wabebwe, wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu...
Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.