figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,365
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni