Vyama vya wafanyakazi na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) viliundwa kama ngao ya kulinda, kutetea, na kuwasilisha sauti ya mfanyakazi. Mfumo huu unapokengeuka na kupoteza maono yake ya...
Kwasababu sote ni mashahidi tunaona namna chadema inavyopata tabu na kuhangaika kukusanya milioni mia 3 tu. Ni kama vile inawalazimisha watu wale wale wachangie kwa kurudia.
Lakini pia sote ni...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu...
KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI
Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao...
Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es...
Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA.
Nashauri,
Mr SUGU na Proffesa J...
Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao...
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni!
Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry...
Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) imezinduliwa rasmi, ikiashiria mwanzo wa uhamasishaji wa kitaifa wa wavumbuzi, wajasiriamali, watunga sera, wawekezaji, watafiti, washirika wa maendeleo...
Kesi ya uhaini namba 19605/2026 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, itaendelea leo Jumatatu, Agosti 17, 2026 katika Mahakama Kuu ya...
Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya...
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na...
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo
Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8
Mbezi
Ubungo
Chanika
Mbagala
Kigamboni
Kigamboni
Tegeta bunju
Kinondoni
Na hizo stendi kuwe na private...
SWALI chonganishi wazanzibar hawakunyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi kujificha uvunguni MWA kitanda.
ILA watanganyika walinyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi majumbani mwao sebureni...
Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe...
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu...
Bana nimeona watu wengi wenye pesa wakilala usingizi mgumu usiku, wakihesabu hela zao badala ya kufurahia maisha. Hata mimi nilipokuwa na pesa nyingi, nilikuta najiuliza "kwanini sijafurahi?"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.