1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar
2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua kosa
3. Kujiuzulu uwaziri: Mheshimiwa Mwinyi ndio kiongozi pekee aliejiuzulu kwa hiari bila ya shindikizo.
4. Television imeanzishwa na Rais mwinyi baada ya kuona Zanzibar wanatv yao, hapo tvt , Itv zikaanza kuruka hewani