Aibu utaona wewe baada ya kuonya juu ya Upigaji wa CHADEMA sasa ni uthibisho tosha tone kwa tone ilishatimia mda mrefu na viongozi hawataki tena kutoa feedback kwa wananchi kwani wanahisi...
Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na...
Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza.
Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama...
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana...
Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM.
Twende na rejea hotuba ya baba...
Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu...
Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote...
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania.
Amewataka raia kutoka...
Hizi dini zinatuvuruga sana.
Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.
Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja...
Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama...
Bana nimekuja kuwaambia kitu kibaya sana, ukifikiri pesa ni suluhisho la kila kitu, subiri tu uone shida zake. Niko hapa nina pesa, lakini stress yangu ni kubwa kuliko ya mtu wa kima cha chini...
Chama cha ACT Wazalendo kinakemea vikali kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka jioni ya jana Agosti 14, 2026, nje ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi akiwa anatekeleza...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda...
Hili halina ubishi ndio maana alipata sapoti kubwa kutoka kwa wanannchi wa hali ya chini na wapigani na wahuni walimchukia hayati JPM
Leo hii kumekuwa na tabaka la wanafaidi keki ya taifa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.