Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ Video: MATUKIO DAIMA MEDIA Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa...
4 Reactions
5 Replies
230 Views
Kupitia Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Desemba 26, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakemea vikali wimbi la ukamataji viongozi linaloendelea katika Kanda ya Serengeti...
3 Reactions
1 Replies
252 Views
Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio Kihongosi akizungumza na wanahabari leo 13 Juni, 2026 amesema kuwa Wakati wa kuanzishwa vyama vingi Mwalimu Nyerere...
1 Reactions
13 Replies
274 Views
Sigrada Wilhem Mligo Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Mkoa wa Njombe, CHAUMMA akichangia bungeni ameitaka Serikali kupunguza matumizi ili pesa zielekezwe kwenye miradi kusaidia wananchi...
1 Reactions
4 Replies
139 Views
Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated). Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal...
5 Reactions
12 Replies
233 Views
Chalamila, na wengine wowote wanaodhani kwamba wataweza kuzuia mabadiliko kwa kukutumia vitisho. Hiki ni kizazi kipya, ni tofauti sana na sisi.
2 Reactions
13 Replies
168 Views
Ni mimi kijana wenu mdogo niliyebarikiwa na Mwenyezi Mungu nitaibadilisha Tanzania
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameikosoa mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akidai kuwa gharama zinazohusiana na mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaumiza vijana...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea. Vyombo vya Ulinzi na...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa. Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila...
3 Reactions
11 Replies
154 Views
Freeman Aikaeli Mbowe, aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa...
1 Reactions
28 Replies
326 Views
Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu 1. Magufuli mwenyewe 2. Bashiru Ally Kakuru 3. Pole pole. Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni...
13 Reactions
21 Replies
492 Views
Wanabodi Angalizo Kwa vile mimi mwenzenu humu, na niliisha wahi kuuliza kitu kwa kuandika, kitu hicho, kikaniletea matatizo nikaitwa hadi Bungeni Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwanini...
41 Reactions
135 Replies
5K Views
Akizungumza leo Juni 12, 2026 katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari Salim Kikeke wa Crown Media, Waziri Mkuya ameweka wazi kuwa bajeti ya Zanzibar, ambayo kwa sasa ni Shilingi trilioni 8...
2 Reactions
14 Replies
293 Views
DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda...
3 Reactions
2 Replies
227 Views
Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
0 Reactions
8 Replies
108 Views
  • Featured
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu...
13 Reactions
230 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni...
15 Reactions
86 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika...
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…