Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sheria ni nini? WAJIBU wake kwa jamii, Sheria ni mjumuisho wa kanuni ambazo wananchi na viongozi. wanapaswa kuzifuata katika utekelezaji wa majukumu Yao ya Kila siku. Sheria za nchi hutungwa baada...
8 Reactions
14 Replies
164 Views
Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu. Amesema ni mikakati imepangwa si bahati mbaya. Polisi ndo Waliopiga picha Maiti...
19 Reactions
20 Replies
556 Views
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa...
19 Reactions
89 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa State Oil (T) Ltd Nilesh Suchak kupitia kampuni ya Uwakili ya Prime Attorneys amemtumia barua Mkurugenzi Mtendaji wa Jamvi la Habari Habib Mchange akimtaka kuomba radhi na kufuta...
2 Reactions
3 Replies
124 Views
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA DRC Waziri Kombo Akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais wa DRC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit...
2 Reactions
4 Replies
104 Views
1. Watu wanatekwa wewe upo upo tu. 2. Fedha za nchi yetu zinaibiwa wewe upo upo tu. 3. Watu wanachochea udini na kuanzisha magenge ya kihalifu wewe upo upo tu. 4. Mahakama inadharaulika wewe upo...
9 Reactions
14 Replies
361 Views
Hakika Shetani hajawahi kumshinda Mungu Hii ni rekodi ya ajabu Sana! UPDATES ×××××××× Taarifa Mpya zinaeleza kwamba sasa ni zaidi ya Mil 100, tunakimbilia mil 200 Pia soma: Njama za kuhujumu...
7 Reactions
104 Replies
1K Views
Wananchi wanawatag Polisi kuwajulisha dhamira yao ya kuandamana kwa amani Agosti, 8, 2026 maarufu kama 8/8 Tangazo hili linaonesha sababu za maandano ni Kupinga Utekaji Kudai kuheshimiwa kwa...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Ndugu Zangu Watanzania, Pamoja na Ukweli ya Kuwa Mama yetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hasssan ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni Ukweli kuwa Rais Wetu Mpendwa ni Binadamu kama...
1 Reactions
36 Replies
410 Views
Rais Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi Ikulu, Dar es Salaam, Julai 18, 2026 https://www.youtube.com/live/Hm1LCMhGUWY
2 Reactions
10 Replies
229 Views
Nchi ikiwa ya moto ya masuala ya Upigaji wa John Heche Baadhi ya wanachama wa Chama hicho wanaonufaika na Upigaji huo wameingia mtandaoni kuhamashisha Uchamgiaji wa kiasi cha Sh. 334,000,000 kwa...
0 Reactions
17 Replies
220 Views
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti...
13 Reactions
96 Replies
5K Views
NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup. Vita ni...
6 Reactions
27 Replies
393 Views
Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu. Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa...
9 Reactions
25 Replies
864 Views
Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake. Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na...
6 Reactions
16 Replies
276 Views
Sote ni mashahidi kwamba uchapakazi, uadilifu, weledi na umakini wa CCM kabla na baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo, na kisha kupewa dhamana ya umma kisheria ya kukamata dola, kuunda...
5 Reactions
55 Replies
573 Views
Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho...
19 Reactions
25 Replies
534 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo...
12 Reactions
23 Replies
478 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi Julai 16, 2026, imeifuta kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo kupitia...
9 Reactions
28 Replies
560 Views
Back
Top Bottom