Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Japo Jenerali Ulimwengu anasema hakuwa na urafiki wa karibu na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja, tangu wakiwa gazeti la Daily News miaka ya 1973- 74 na...
27 Reactions
38 Replies
2K Views
Mods please musiiunge hii for now kwasababu msingi wa threads nyingine ni maswali kuhusu chanzo cha Bank M. Na nyingine kuhusu kukamatwa kwa mkuu wake kwa kosa la utakatishaji! Ripoti hii hapo...
36 Reactions
264 Replies
28K Views
Kimsingi, katika demokrasia ya vyama vingi, madaraka ni mali ya wananchi kupitia kura. Kauli kwamba chama "hakiwezi kuachia madaraka" inapingana na msingi wa uchaguzi huru na wa haki, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
From Halis Max Facebook Page. Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️ Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala...
11 Reactions
144 Replies
2K Views
Hakuna ubishi kwamba nchi zilizotuzunguka nyingi tumezisaidia katika ukombozi, Ila majirani zetu wa karibu tumewasaidia mpaka kuwaandaa maraisi na uongozi wa nchi hizo, lakin uongozi asilimia...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Yaani kuna Washenzi jamii ya mwakizimkazi. Baada ya kuona Samia Suluhu amejipachika Urais wa Tanzania na kutumia mtutu wa Bunduki kujiapisha. Na Wananchi wakaufyata, Wakajua kila taasisi Watafanya...
18 Reactions
20 Replies
508 Views
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako. Utajiri wa...
24 Reactions
144 Replies
7K Views
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa...
8 Reactions
22 Replies
353 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akizungumza leo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na UTV "CCM haiwezi kukutwa na hatia. Mtu mmoja mwana-CCM...
1 Reactions
7 Replies
207 Views
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni...
2 Reactions
15 Replies
271 Views
Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa...
55 Reactions
248 Replies
4K Views
Watu wenye exposure waliobahatika kidogo kutembelea nchi ambazo zimepiga hatua kwenye matumizia ya internet mpaka kufikia kuwa na digital economy kubwa wanaelewa ..Tanzania tunazungumza sana...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii, Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake...
24 Reactions
41 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesema kauli ya Mary Chatanda kuhusu kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo za kisiasa na haipaswi kutafsiriwa kama yenye nia mbaya. Hapi...
1 Reactions
24 Replies
391 Views
Raha ya chama cha siasa ni kuuza hoja dhidi ya wananchi na kufanya ushawishi kwa wananchi chama kiendelee kutawala. Sasa chama cha siasa kinapotoka kua chama cha siasa na kua chama dola jua hapo...
1 Reactions
6 Replies
77 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Itikadi, Uenezi na Mafunzo), Kenani Kihongosi, amewataka wanasiasa na vyama vya siasa nchini kuacha kutumia matukio ya Oktoba 29 kama ajenda ya kujijenga kisiasa...
1 Reactions
22 Replies
348 Views
Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
10 Reactions
30 Replies
837 Views
Back
Top Bottom