Kwanini Heche anashambuliwa na WanaCCM !

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,350
Reaction score
37,845
Heshima sana wanajamvi,

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.

Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe. Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?.

Kwa maoni yangu nadhani CDM walitakiwa kuwatumia viongozi wote wa kanda zote badala ya kumwachia Heche pekee yake.Kitendo cha kumwachia kiongozi mmoja kila kitu hasa mikutano ya hadhara naamini ni udhaifu mkubwa.
Ebu tufikiri kidogo kama wenyeviti wa Kanda zote wangefanya mikutano katika kanda zao kina Wassira,Mwanri.......wangechoka,wasingejua wamshambulie nani wamwache nani.

Ngongo kwasasa viunga vya Mahakama Kuu Masijala ndogo Mzizima.
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.

Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe.
Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?.

Heche ameonyesha kuwa baada ya Lissu mwenyekiti anayefata ni Heche ili kuyakomoa machoko ya ccm
 
Heche amekuwa na upepo kama wa fisi kumradhi si kwa ubaya fisi sehemu yoyote akiunguruma mbwa lazima wabweke tena hovyo hovyo ccm hao
Ni sawa lakini tunawataka Viongozi wengine hasa ngazi ya Kanda na ikiwezekana ngazi ya Mikoa.

Tanganyika ni kubwa sana akiachiwa mtu mmoja hakika malengo na matazamio yatachelewa kama si kugonga mwamba.
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.

Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe.
Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?.

Kwa maoni yangu nadhani CDM walitakiwa kuwatumia viongozi wote wa kanda zote badala ya kumwachia Heche pekee yake.Kitendo cha kumwachia kiongozi mmoja kila kitu hasa mikutano ya hadhara naamini ni udhaifu mkubwa.
Ebu tufikiri kidogo kama wenyeviti wa Kanda zote wangefanya mikutano katika kanda zao kina Wassira,Mwanri.......wangechoka,wasingejua wamshambulie nani wamwache nani.

Ngongo kwasasa viunga vya Mahakama Kuu Masijala ndogo Mzizima.
Gentleman,
heche ni fisadi wa pesa za chadema,
na ndio maana wanachama wa chadema hawataki tena kukichangia pesa chama chao mpaka heche apigwe chini na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 🐒
 
Amewashika pabaya
 
We mlevi maswali gani hayo!?
 
Heche amepewa pressure kubwa sana ya kukubali Kukaa mezani...pamoja na kujaribu kumhonga AMEKATAA

Dereva wake kafa kimaajabu.... Akaulizwa vipi ....njoo AMEKATAA
 
Gentleman,
heche ni fisadi wa pesa za chadema,
na ndio maana wanachama wa chadema hawataki tena kukichangia pesa chama chao mpaka heche apigwe chini na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15 🐒
Pesa za CHADEMA sio umeeleza vyema vipi kuhusu pesa na kodi ya mlala hoi kama mimi na wewe ,mngewapa ruzuku ingekuwaje???🤒
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.

Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe.
Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?.

Kwa maoni yangu nadhani CDM walitakiwa kuwatumia viongozi wote wa kanda zote badala ya kumwachia Heche pekee yake.Kitendo cha kumwachia kiongozi mmoja kila kitu hasa mikutano ya hadhara naamini ni udhaifu mkubwa.
Ebu tufikiri kidogo kama wenyeviti wa Kanda zote wangefanya mikutano katika kanda zao kina Wassira,Mwanri.......wangechoka,wasingejua wamshambulie nani wamwache nani.

Ngongo kwasasa viunga vya Mahakama Kuu Masijala ndogo Mzizima.
Ni kwa kuwa naye anawashambulia Wana CCM. Yupo kazini nao wapo kazini, kazi yao ni siasa.
Hao ni Wanasiasa.
 
Heshima sana wanajamvi,

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.

Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe.
Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?.

Kwa maoni yangu nadhani CDM walitakiwa kuwatumia viongozi wote wa kanda zote badala ya kumwachia Heche pekee yake.Kitendo cha kumwachia kiongozi mmoja kila kitu hasa mikutano ya hadhara naamini ni udhaifu mkubwa.
Ebu tufikiri kidogo kama wenyeviti wa Kanda zote wangefanya mikutano katika kanda zao kina Wassira,Mwanri.......wangechoka,wasingejua wamshambulie nani wamwache nani.

Ngongo kwasasa viunga vya Mahakama Kuu Masijala ndogo Mzizima.
Mti wenye matunda
 
Back
Top Bottom