General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:
Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million
Counting speed...
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao...
Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na...
Yaani mtu yupo korokoroni na ana kesi ya kujibu, hayo maisha yake yamekua hatarini lini? In fact kwa uchochezi, uharibifu na maafa alioyoyachochea na kutokea, wananchi wanaweza kua na hasira nae...
It all over in Zambia baada ya tume ya Taifa ya Uchaguzi ECZ kumtangaza Haikande Hichilema kama mshindi wa Uchaguzi wa Urais uliyofanyika August 13, Hichilema alipata 60% ya kura zote.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni ajenda yake ya msingi na utatekelezwa kama ulivyohaidiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030...
Tarehe 21 eitha mseme hana kesi mumuachie au mseme ana kesi aite mashahidi wake
1. Sijui nan
2. Filp Isdori
3 Shekh Kasim
4.
5
Wote hawa twawataka kwa mahakama
Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo...
Haiwezekani Dar yote kuwe na bus stand bubu kila kona, usafirishaji wa biashara haramu za Binadamu, Madawa ya kukevya , , foleni katikati ya mji, mapato ya Serikali , huku tukiacha Stendi ya...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa...
Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika...
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM
Ndani ya chama cha...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, kupitia Jambo Tv Agosti 17, 2026, amesema Dola ilimuogoba aliyekuwa Mgombea Urais wa...
Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa...
Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi.
Kikawaida EL...
Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANAnaLEO Tupo Na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi ameetoa mtazamo wake kumuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kwa kusema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.