Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo...
Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa.
Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’...
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Mke wa kigogo Ikulu atajwa
Kampuni ya uwakili nayo imo
Takukuru yaingia kazini
MAJINA ya baadhi ya watu walionufaika na fedha za akaunti ya Escrow zilizowekwa katika akaunti ya Benki ya Stanbic...
𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗦𝗞𝗢𝗙𝗨 (𝗧𝗘𝗖) 𝗠𝗡𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢𝗦𝗘𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜.
Tumsifu Yesu Kristo.
Jina langu ni Joseph Simon Mapunda, Muumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga Mkoani Ruvuma ambaye kwa mapenzi ya Mungu...
Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nitoe Pole Kubwa sana kwa Taifa la CAMEROON kufuatia vifo vya watu 107 vilivyotokea baada ya kuporomokewa na Udongo katika eneo la kuchimba Madini .
Sasa...
Akichangia hoja Bungeni Aprili 9, 2026, Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, ametoa wito kwa Serikali kuitaka ianze kuitumia kikamilifu Bandari Kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani ili kupunguza...
Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao...
Mbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akihojiwa leo Agosti 19, 2026, katika kipindi cha UTV amesema Serikali haiwezi kuomba radhi kwani ilitimiza...
Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi .
Halafu tena katika mgodi...
Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030.
Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO...
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua...
LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17...
My Take
Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri.
https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.