Balozi Possi: Matamko ya Jumuiya ya Kimataifa wanatuonea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,107
Reaction score
3,465
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Balozi Dkt. Abdallah Possi, amezitaka jumuiya za kimataifa kutumia njia za mashauriano yenye tijabadala ya kutoa hukumu zisizo na uwiano pindi wanapotathmini hali ya kisiasa na kiuchumi nchini.

Akihojiwa Agosti 19, 2026 kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media, Balozi Posi amebainisha kuwa diplomasia ya kweli inapaswa kujengwa katika msingi wa mazungumzo yenye nia ya kujenga na sio kubomoa.

Akitolea mfano wa suala la haki za binadamu na uhuru wa kujieleza, Balozi Posi ameeleza kuwa uhuru wowote unapaswa kuendana na mipaka ya kisheria na usivunje amani au kuathiri haki za wengine.
Balozi Possi amesema washirika wa kimataifa kushirikiana na Tanzania kwa uwazi, kusikiliza mazingira ya ndani ya nchi, na kutoa tathmini zenye haki badala ya kulinganisha mazingira ya Tanzania na nchi zilizoendelea sana bila kujali muktadha wa maendeleo.

"Ni kutotutendea haki kutotambua wapi tulipotoka na hatua tulizopiga mpaka sasa. Zamani ilikuwa kawaida kuona watoto wanakwenda shule bila viatu, lakini leo hii miundombinu na huduma zimeboreshwa kwa kiasi kikubwa. Kuna maendeleo ya wazi ambayo hayapaswi kupuuzwa,"

balozi mahiri mno huyu aise.

well done ambr.Possi🤝
 
Safari hii inaonekana punguani wamechaguana kushikilia nafasi zote ambazo zilihitaji watu wenye akili ya juu!! Sasa mtu kama huyu, ana akili timamu?
Hana la kufanya hata kama anaujua ukweli waliomteua wamemwambia aseme hayo hawezi kwenda kinyume na hayo
 
  1. Physics is not merely an empirical catalog of material phenomena; it is the systematic deciphering of the invariant ontological constraints governing the cosmos
 
Wanawaonea?. Nyie mnavyowaonea hawa wananchi wenu je? Mtu katoka kufundisha siasa chuoni UDOM mnampa ugaidi. Very stupid
 
Ngoma bado wajinga nyinyi hamuwezi kuua ndugu zetu halafu likapita hivi hivi.

October 29 haijaisha mpaka iishe , hii itadumu hadi vijukuu vyenu.

Muda utafika nyie au wajukuu wenu mtatafuta hifadhi pa kuishi nje ya nchi.
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Balozi Dkt. Abdallah Possi, amezitaka jumuiya za kimataifa kutumia njia za mashauriano yenye tijabadala ya kutoa hukumu zisizo na uwiano pindi wanapotathmini hali ya kisiasa na kiuchumi nchini.

Akihojiwa Agosti 19, 2026 kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media, Balozi Posi amebainisha kuwa diplomasia ya kweli inapaswa kujengwa katika msingi wa mazungumzo yenye nia ya kujenga na sio kubomoa.

Akitolea mfano wa suala la haki za binadamu na uhuru wa kujieleza, Balozi Posi ameeleza kuwa uhuru wowote unapaswa kuendana na mipaka ya kisheria na usivunje amani au kuathiri haki za wengine.
Balozi Possi amesema washirika wa kimataifa kushirikiana na Tanzania kwa uwazi, kusikiliza mazingira ya ndani ya nchi, na kutoa tathmini zenye haki badala ya kulinganisha mazingira ya Tanzania na nchi zilizoendelea sana bila kujali muktadha wa maendeleo.

"Ni kutotutendea haki kutotambua wapi tulipotoka na hatua tulizopiga mpaka sasa. Zamani ilikuwa kawaida kuona watoto wanakwenda shule bila viatu, lakini leo hii miundombinu na huduma zimeboreshwa kwa kiasi kikubwa. Kuna maendeleo ya wazi ambayo hayapaswi kupuuzwa,"
Eti mazafaka naye ni daktari. Kwenye hii nchi usomi unadhalilika sana!
 
Mnataka mbembelezwe baada ya kuua Watanzania wasio na hatia?
 
Wanawaonea?. Nyie mnavyowaonea hawa wananchi wenu je? Mtu katoka kufundisha siasa chuoni UDOM mnampa ugaidi. Very stupid
Eti hata aibu hawana hawa watu sio binadamu ugaidi gani mtu anafundiaha darasani halafu mashtaka yenyewe eti alikuwa akitaka kuchoma majengo ya serikali nchi nzima (Tanganyika na Zanzibar) ikiwemo vituo vya polisi. Yule mwehu Mwaipopo anatishia kabisa watu yupo anatamba mtaani na sijui anawaita mbwa mwitu
 
Back
Top Bottom