Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,245
- 2,422
Wadau, jana Chuma Heche ametoa neno linalohitaji fikra tunduizi kwa kusema 'mwenye mpira ndio anayekabwa na akaenda mbali kwa kusema mpira uko chini ya udhibiti wake ndio maana wakabaji wa mpira lazima wamfate yeye' je, kauli hii nyinyi mmeielewaje? Naomba majibu (my insistence is that response should be given by those with sobriety).
Soma pia Mwenye mpira ndiye anayekabwa: Kwanini machawa wanaendelea kumfuata John Heche?
Soma pia Mwenye mpira ndiye anayekabwa: Kwanini machawa wanaendelea kumfuata John Heche?