Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8 ikiwa imejengwa kwa gharama ya Bilioni 5.4.
Waziri Majaliwa ametoa maagizo hayo leo wakati wa ziara yake katika wilaya ya Temeke ambapo amemuagiza Mkuu wa TAKUKURU Temeke kuwatafuta wahusika wote akiwemo Mkurugenzi huyo wa zamani kwa ajili ya kushitakiwa.
"Nawapa siku 4, tarehe 20 deadline watu waende Mahakamani, ita yeyote yule huyu aliyehamishwa hapa arudishwe, huyo Mkurugenzi aliyewekwa pembeni arudishwe na Msimamizi Msaidizi, Edward Haule rudisha wote peleka mahakamani hatuwezi kufanya mchezo hapa hizi fedha za wananchi”.
Pia soma