Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,647
218,101
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo.

Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar

Nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee


 
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Mkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas

Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais

Hapa bugurun mtaa wa pandia mjumbe n mmakunduchi wa visiwan

Kigamboni washiraz kibao n wajumbe had madiwan

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom