Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia matukio yanayotokea kwenye nchi nyingi za kiafrika yanathibitisha kuwa sisi sio watu Yawezekana sisi ndio wale sokwe waliokuwa wanakaribia kuwa binadamu lakini mchakato ukaishia...
2 Reactions
14 Replies
184 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Juma Malik Akil, amebainisha kuwa Zanzibar inaendelea kupata manufaa makubwa na hadhi ya kipekee ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa katika uimarishaji wa...
1 Reactions
10 Replies
299 Views
Salute Kila mfumo wenye kujiamini huona sauti za wananchi kama sehemu ya afya ya taifa. Lakini mfumo wenye hitilafu huona kila swali kama tishio, maandamano kama uadui, na kila ukosoaji kama...
0 Reactions
6 Replies
124 Views
Wakuu, Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto! Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea...
5 Reactions
21 Replies
364 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana...
14 Reactions
93 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais mwinyi umelelewa Tanganyika maisha yako yote, sasa kuna huyu mwenzako yeye ameshabariki ubaguzi unaoendelea huko Zanzibar. Sasa msijekusema Watanganyika wakorofi. Kwa kuwa umeshindwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Poll Poll
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi...
9 Reactions
2K Replies
192K Views
Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Maganga, ametoa wito mzito bungeni akitaka hatua za dharura zichukuliwe kuokoa watoto na kizazi kijacho dhidi ya wimbi la mmomonyoko wa maadili na vitendo vya...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Hizi tuhuma zilivuma na kuwachafua sana hawa jamaa wawili wakati wa u-Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2015). Cha ajabu ni kuwa, huwa wamo tu serikalini. Ama kweli wachawi na waganga wao wana...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesema CHADEMA ya Freeman Mbowe ilikuwa bora zaidi kuliko ilivyo sasa, akimtaja Mbowe kuwa kiongozi mwenye uwezo wa kupunguza...
1 Reactions
17 Replies
314 Views
  • Redirect
Serikali ya Tanzania imetolea ufafanuzi mjadala na upigaji kura uliofanyika katika Bunge la Ulaya mnamo Juni 18, 2026, kuhusu Programu ya Ubia ya mwaka 2026 yenye thamani ya Euro milioni 156...
2 Reactions
Replies
Views
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo...
1 Reactions
5 Replies
401 Views
Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika. Sisi tumebaki na zamu ya kupambana na maisha yetu, kulipa bili na kutafuta hela za kula bata kidogo. Kujifanya mkombozi wa awamu...
2 Reactions
23 Replies
307 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa Niandike nini hapa ,Nashindwa nimuelezee Vipi Rais Samia , Nashindwa Nizungumze Nini Nanyi Maana Rais Samia Anaendelea kuonyesha kuwa ni chaguo la Mungu ...
1 Reactions
34 Replies
438 Views
Mjadala unaendelea! Hakuna kiongozi asiyetaka kuacha Legacy na jina lake kukumbukwa katika Historia. Nchi ya Tanganyika mpaka muda huu imeongozwa na Rais Mmoja tuu ambaye ni Hayati JK Nyerere...
1 Reactions
11 Replies
217 Views
  • Poll Poll
Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa NB: unaweza kutaja sababu 1. Tanganyika 2. Tanzania Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
10 Reactions
102 Replies
2K Views
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu...
3 Reactions
85 Replies
611 Views
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Bele Ponera, amekosoa vikali hali ya maendeleo katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, akidai kuwa linakabiliwa na umaskini uliokithiri na ukosefu wa...
9 Reactions
18 Replies
359 Views
Tabia ya baadhi ya nchi za Afrika kubadili katiba ili kuongeza muda wa marais wanaokaribia kumaliza mihula yao imeendelea kujitokeza mara kwa mara. Je, hii ni ishara ya ukomavu wa kisiasa na...
0 Reactions
3 Replies
176 Views
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 19 Juni, 2026 kwa ziara ya kitaifa. Ziara hiyo, ambayo ni ya pili kuifanya nchini Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
342 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…