Hitilafu ya Mfumo
Member
- Jun 19, 2026
- 11
- 19
Salute
Kila mfumo wenye kujiamini huona sauti za wananchi kama sehemu ya afya ya taifa. Lakini mfumo wenye hitilafu huona kila swali kama tishio, maandamano kama uadui, na kila ukosoaji kama uhaini.
Uhuru wa kuandamana si zawadi ya serikali; ni sehemu ya haki ya wananchi kusikika. Tatizo huanza pale mamlaka yanapoanza kuogopa watu wanaotaka kueleza hisia zao.
7/7 haitakiwi kuwa vita ya wananchi na viongozi, bali iwe kipimo cha kama mfumo wetu una uwezo wa kusikiliza au bado unaishi kwa hofu. Hitilafu Ya Mfumo