Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimependa andiko la Martin Maranja Masese: Dear, RANGO. Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia...
2 Reactions
2 Replies
154 Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, usishindane na Aliyepakwa Mafuta na Mungu,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Kwa hakika Taifa likiongozwa na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili...
1 Reactions
43 Replies
408 Views
Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo...
2 Reactions
55 Replies
266 Views
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es...
1 Reactions
10 Replies
144 Views
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na...
3 Reactions
51 Replies
639 Views
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
3 Reactions
11 Replies
743 Views
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo...
1 Reactions
12 Replies
146 Views
Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche...
10 Reactions
15 Replies
599 Views
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI. JOHN HECHE; Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini...
9 Reactions
26 Replies
618 Views
Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda...
4 Reactions
16 Replies
359 Views
▪️𝗔𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗮 𝗳𝘂𝗿𝘀𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗰𝗵𝗶𝗺𝗯𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮𝘇𝗮𝘄𝗮 ▪️𝗪𝗮𝗰𝗵𝗶𝗺𝗯𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮𝗶𝘀𝗵𝘂𝗸𝘂𝗿𝘂 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘄𝗲𝘇𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
8 Replies
107 Views
Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
8 Reactions
34 Replies
954 Views
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema kuwa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaakisi maono ya mfumo wa chama kimoja cha siasa...
2 Reactions
2 Replies
71 Views
Ilianza siku 100 Ikafuata Tume ya Chande Zikapita purukushani za PM mikoani Hali ikawa tafrani waraka ukaja kutoka kila kona Waraka unaisha tarehe August 10 sisi tumekuja na tume Tume imepewa...
4 Reactions
11 Replies
314 Views
https://youtube.com/shorts/ltHDZmCjLsI?si=fb1wNcmbPrZF7YsR
2 Reactions
23 Replies
350 Views
Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
  • Redirect
Kwanini uachie madaraka 2030 wakati uwezo wa kutawala kama KAGAME au M7 unao? Kwanini uachie ngazi kujiweka roho juu huelewi atakaekuja atakukabili vipi kwa yaliyotokea? Kila kitu unacho, na...
5 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…