D
DeletedMember281674
Guest
View: https://www.instagram.com/reel/DcTY51sNn7M/?igsi=dTg3aXN1cjMyMWZ0
Je, Kuna Ukweli juu ya hili kutoka kwa Nuru Vazi?
Je, ni kweli GSU/NSI Wana mpango wa kumjua Nuru Vazi?
Je, ni nani haswa aliyewapa hiyo kandarasi?
Ya Rachel Dangwa na yenyewe yanahusishwa na magenge ya kihalifu kama Yakuza nchini Japan?
Naomba kuwasilisha