Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
8 Reactions
29 Replies
495 Views
Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko? Natanguliza shukurani
1 Reactions
19 Replies
921 Views
Ndugu zangu Watanzania, Linapokuja suala La Kuichezea Lugha Ya Kiingereza kwa ufundi na ustadi na Uhodari pamoja na Umahiri kiukweli Rais Samia anakuwa hana wa Kulinganishwa Naye . Anakuwa na...
3 Reactions
74 Replies
650 Views
Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa...
5 Reactions
26 Replies
515 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke...
1 Reactions
39 Replies
321 Views
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti. Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la...
25 Reactions
128 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
POLISI DAR WAWAKAMATA 11 KWA TUHUMA ZA UTAPELI WA MTANDAONI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 11 wanaotuhumiwa kujihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao, ambapo...
3 Reactions
14 Replies
485 Views
Tuwape marks kwa presentation, confidence, English na namna ya kujieleza mbele ya hadhira ya kimataifa. Nchimbi: ?/10 Ndejembi: ?/10 Video ipo hapa chini. Toa marks zako kwa heshima. Kama kuna...
1 Reactions
57 Replies
1K Views
Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 04, Oktoba 2026 Serengeti, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche
15 Reactions
41 Replies
601 Views
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi...
19 Reactions
51 Replies
895 Views
=== Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akijibu swali kutoka kwa Muhidini, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tengeru Institute of Community Development...
14 Reactions
39 Replies
694 Views
Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye...
10 Reactions
19 Replies
393 Views
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC...
12 Reactions
53 Replies
1K Views
Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye...
3 Reactions
9 Replies
166 Views
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto. Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na...
17 Reactions
20 Replies
517 Views
sijui kama hizo baraka mnazipata wanasiasa makatili wakejaa damu za watu wapigania haki za wananchi walio wengi kama Polepole damu yake huo ni mfano au waliompiga risasi Tundu Lissu njoo mauaji...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Piga kura kwa usalama! 👑✨ Unapomuunga mkono mshiriki wetu wa Miss Grand International, hakikisha unatumia viunganishi (links) rasmi pekee ili kupiga kura, na usitoe taarifa zako binafsi kama vile...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Badala ya kuchambua siasa za Mashariki ya kati yeye kuwaaminisha Masheikh wa upanga kuwa tatizo ni uzayuni Jamaa muongo muongo sana USSR
2 Reactions
53 Replies
715 Views
Back
Top Bottom