Kila nikijitahidi nimuone Mwigulu Nchemba kama Waziri Mkuu nashindwa

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,647
Reaction score
18,954
Kwa kweli Dk Mwigulu Lameck Nchemba anajitahidi sana ili ajae kwenye kiti cha uwaziri mkuu kupitia kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wanyonge lakini moyo wangu bado umegoma kumuona kama waziri mkuu.

Shida ya Mwigulu Nchemba ni kwamba ana sura mbili, sura ya kwanza ni ya utendaji na sura ya pili ni ya propaganda.

Bahati mbaya sana kwa Mwigulu Nchemba ni kwamba sura ya propaganda ndiyo dominant(imemtawala)

Chini ya kundi la CCM mtandao full potential ya Mwigulu Nchemba haitakaa ionekane labda akiukwaa urais huko mbele ya safari.
 
Kama ili Jambo lako lifanyiwe utatuzi mpaka umuone PM na wewe ni mwananchi wa kawaida tu unalima korosho, basi huwezi kusema huyo PM anafanya kazi nzuri.

Viongozi wazuri wanatengeneza sysytem za kusimamia mambo, ni upumbavu waziri mkuu kuzunguka nchi nzima kukusanya kero za wananchi wakati kuna watu mpaka ngazi ua kata wanalipwa kwa kodi za wananchi.

Nilitegemea kila kero inayowasiliswa inaondoka na mtu alie zembea kuitatua wakati iko kwenye mamlaka yake.
 
Viatu vinapwaya
 
Tatizo la CCM mtandao ni kubwa kuliko Mwigulu mwenyewe. Mfumo huo unakuzisha wanaofuata mstari, si wanaovunja mipaka kwa maslahi ya taifa.

Hata kama Mwigulu ana akili ya ziada — na ana — mfumo huo utamzuia asifike full potential yake. Ni kama kuweka Formula 1 car kwenye barabara za vumbi — gari zuri, barabara mbaya
 
Inasikitisha sana
 
Ukweli mchungu Mwigulu anajua jinsi ya kuzungumza na wanyonge

lakini anajua zaidi jinsi ya kupiga picha akizungumza nao. Kizazi chetu hakitaki kiongozi wa Instagram politics

Tunataka kiongozi anayefanya kazi ukimya, matokeo yake yanazungumza.

Mwigulu bado ana nafasi ya kubadilika — lakini muda wake wa kubadilika unakimbia haraka

Kwani ndio waziri mkuu atayekaa madarakani muda mfupi sana.
 
Umenena vyema
 
Kwa kweli Dk Mwigulu Lameck Nchemba anajitahidi sana ili ajae kwenye kiti cha uwaziri mkuu kupitia kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wanyonge lakini moyo wangu bado umegoma kumuona kama waziri mkuu.

Shida ya Mwigulu Nchemba ni kwamba ana sura mbili, sura ya kwanza ni ya utendaji na sura ya pili ni ya propaganda.

Bahati mbaya sana kwa Mwigulu Nchemba ni kwamba sura ya propaganda ndiyo dominant(imemtawala)

Chini ya kundi la CCM mtandao full potential ya Mwigulu Nchemba haitakaa ionekane labda akiukwaa urais huko mbele ya safari.
Waziri mkuu ni muwakilishi wa wananchi.. hivyo anachofanya ni moja ya jukumu lake
Binafsi, namkubali huyu muheshimiwa na kwa kuwa alikuwa anagawa pesa kwa mikoa (Waziri wa Fedha)
Anaouwezo wa kujua mradi flani hela ipo tayari ni janja janja nk nk
 
Mwingulu alitakiwa kubaki Kama katibu mkuu wa chama basi yeye na propaganda ndo anaweza
 
Back
Top Bottom