Juma Duni Vs Mbowe: Wote wenyeviti wastaafu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,253
Reaction score
14,149
Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara.
Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo karibu na nwenyekiti wake. Jee MBOWE bado pamoja na chadema? Kama yupo mbona hatumuoni kuhusu swala la lissu? Kama kastaafu siasa mbona tunamuona ktk matukio ya kisiasa?
Sitaki kuingiza udini ndani yake. Lkn nasema kumpeleka madrasa ntoto wako sio ujinga kama baadhi ya wasomi wanavyoamin. Madrasa inamjenga mtoto imani thabiti isiyoyumbayumba.
Ni hayo tu kwa sasa.
CHADEMA MJIFUNZE SIASA ZA ZANZIBAR
 
Kipi hukijui, Vitendo na matamko ya kumbananga Mbowe na Kambi ya Lissu wakati wa uchaguzi, yalimuumiza sana. Ni haki yake kujitenga nao
 
Kwani kambi ya Mbowe haikumtukana Lissu
 
Kipi hukijui, Vitendo na matamko ya kumbananga Mbowe na Kambi ya Lissu wakati wa uchaguzi, yalimuumiza sana. Ni haki yake kujitenga nao
Yeye kangwa na kuwabagazwa ccm mara ngapi? Mbona sasa hivi anao?
 
Kipi hukijui, Vitendo na matamko ya kumbananga Mbowe na Kambi ya Lissu wakati wa uchaguzi, yalimuumiza sana. Ni haki yake kujitenga nao
Kaambiwa nini kikubwa? Mbona alivumilia kuiitwa na kushtakiwa ugaidi? Kashindwa kuvumilia kuambiwa Musseven kwa kungangania uenyekiti?
 
Tangu Mbowe aliposhindwa na Lissu kwenye ule uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti ndani ya chama, sijasikia tena CHADEMA kuhusishwa na kabila fulani, au kutambulika kama saccos ya mtu fulani!

Leo hii kelele ni zile za kutamani tu huyo Mowe arejee chamani! Maana hali imekuwa ni tete kwa maccm hayo hayo yaliyokuwa yakikisimanga chama enzi hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom