Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,906
- 40,316
Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu.
Ni wazi chama kimewashinda.
Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama wao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania