Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.
Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, utatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.
On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia watu, wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uaminifu, uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.
On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makamo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini kutakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wa Kizanzibari, wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani kuchakura, lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.
On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.
Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.
Paskali
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.
Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, utatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.
On Womanliness
Akizungumzia kuhusu mwanamke kushika madaraka ya juu kama yeye, akasema uongozi ni utumishi wa watu, haijalishi jinsia yako bali kuwatumikia watu hivyo ukiishajitambua kuwatumikia watu, wewe ni mtumishi wa watu, unapaswa kujituma kwa bidii na kuwatumikia watu hao kwa uaminifu, uadilifu na unyenyekevu wa hali ya juu lakini bila kujisahau uanamke wako kwa sababu kazi ya uumbaji kati ya mwanaume na mwanamke ni kazi ya Mungu, hivyo haijalishi wewe ni nani, bali mwanamke atastahili kujikubali uanamke wake na kujiheshimu kianamke kwa sababu mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke kwanza hayo mengine yote yanafuata.
On Simplicity and Down to Earth.
Amesema toka kuteuliwa kuwa Makamo wa rais, ana miss sana baadhi ya mambo ya wanawake mfano anapenda sana kupika na haswa kusukuma chapati. Lakini kutakana na kutingwa na majukumu, hapati tena muda wa kuingia jikoni kupika!. Wanawake wa Kizanzibari, wanapenda kwenda shopping ile kutembea tuu toka duka moja hadi jingine na kuchakura na kuchagua kuna raha zake. Tangu amekuwa VC anatamani sana kwenda madukani kuchakura, lakini anakatazwa. Anaulizwa aseme chochote anachotaka wako watu watatumwa kumletea.
On Humility
Akiongea na Kisu anaongea kwa unyenyekevu sana, haonyeshi kujisikia, anazungumza kwa tone ya humility ya hali ya juu. Angekuwa mwingine kwa madaraka aliyo nayo angeongea very authoritatively kwa tambo, majigambo na full kujisikia!.
Huyu Mama ana Virtues karibu zote na baadhi yake ni hizi nilizozitaja humu.
Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.Acceptance To consider circumstances, especially those that can not be changed, as satisfactory. Anakubalika sana na watu wote wa vyama vyote
Accountability The quality or state of being accountable; especially: an obligation or willingness to accept responsibility or to account for one's actions. Yuko very accountable alisema akitazama Bunge baadhi ya mawaziri wanavyojibu maswali anatamani awasaidie. Anajihesabu angekuwa yeye angejibu hivi au vile na sometimes anawatumia ujumbe ila most of the time by the time ujumbe unafika it's already too late.
Ambition Having a strong desire for success or achievement ndiko kuliko mfikisha hapo alipo, tungependa sana huyu awe, ile 2025 might be too little too late!, labda 2020 akampokee Shein au tuombe Mungu afanye mambo ili awe?.
Assertiveness Disposed to or characterized by bold or confident assertion. Kwa mliofuatilia BMK natumaini hili mliliona.
Beauty The quality or aggregate of qualities in a person or thing that gives pleasure to the senses or pleasurably exalts the mind or spirit. Aesthetic harmony. Hapa ni mambo ya jicho la beholder, na hapa nami naomba kukiri ubinaadamu wangu kuwa Mwenyeezi Mungu katoa jicho!.
Benevolence The disposition to do good. Hii inaonekana wazi ila hata mwenzeke pia anayo ila yake ni ile benevolence yenye udikiteta hivyo ni benevolant dictator.
Bravery A quality of spirit that enables you to face danger of pain without showing fear.Huyu mama ni very brave kwenye BMK hili lilishuhudiwa.
Caring to give care. Ameeleza jinsi anavyojisikia furaha kupokelewa na wajukuu zake akitoka kazini, anapenda sana kuwahudumia ikiwemo kuwapikia chapati.
Charity Generosity and helpfulness especially toward the needy or suffering. Aid given to those in need. Hili tumelishuhudia siku nyingi tangu akiwa waziri.
Chastity Purity in conduct and intention. Haijawahi kusikika lolote popote, kuhusu maisha binafsi.
Caution Avoidance of rashness, attention to safety. Hili lilishuhudiwa alivyo deal na issues sensitive za kero za muungano.
Cleanliness Careful to keep clean : fastidious, habitually kept clean. Haya ni mambo yanayoonekana wazi machoni.
Commitment The firm carrying out of purpose. Yuko very committed kwenye mambo anayoyafuatilia.
Compassion Sympathetic awareness of others' distress together with a desire to alleviate it. Hili amelizungumza kuhusu adha wanazozipata wanawake.
Confidence A feeling of one's powers or of reliance on one's circumstances. Faith in oneself. Yuko very confident na ndio maana tunaombea awe.
Consideration Thoughtful and sympathetic regard for the needs of others. Careful thought. She is very considerate for the plight of others.
Contentment The quality of feeling satisfied with one's possessions, status, or situation. Ndio maana hajisikii, hajioni, hajikombi kombi kwa yoyote, hayuko pompas etc,yuko simple na down to earth.
Cooperation To associate with another or others for mutual benefit/to achieve a shared goal.Angekuwa yeye angeshirikiana vizuri sana na wapinzani kwanza angeteua mmoja wawili kwenye list ya uteuzi wa wabunge wake wa kuteuliwa.
Courage A quality of spirit that enables you to face danger or pain without showing fear. She is very courageous woman, kwa CCM ninayoijua mimi mpaka kufika hapo alipofika, huyu ni Mwanamke wa shoka kweli.
Courtesy Polite, respectful or considerate behaviour mindful of other people. Ukimwangalia anavyozungumza kwa unyenyekevu hili utaliona wazi.
Creativity The ability to create. A quality involving the generation of new ideas or concepts, or new associations of the creative mind between existing ideas or concepts. She is very creative nilimshuhudia kwenye utatuzi wa kero za muungano na kwenye BMK issue ya Mahakama ya Kadhi. Ila sasa nadhani kuna mengi anashauri anakataliwa kwa vile hakuna openness ya nani anashauri nini, ila naamini huku kupoa kwa zile tumbua tumbua za papara, she might have a hand on that.
Curiosity A desire to find out and know things. Hii ni ile curiosity ya kuujua ukweli halisi. Hivyo she is a good listener.
Defiance Bold resistance. Yuko very bold kwenye kutetea haki na kupinga manyanyaso ya aina zote. Ndio maana kuliwahi kuibuka tetesi fulani za kutishia kuachia. Baadhi ya mambo ya Mange Kimambi yana kama kajiukweli fulani hivi ila mambo mengine ni mambo ya ndani.
Dependability Reliable, worthy of reliance or trust. Yuko very dependable ndio maana hutumwa sana kumwakilisha jamaa.
Detachment Freedom from atachments hili limethibitishwa na maisha yake binafsi.
Determination Firmness of purpose. Yuko very determined jambo lake akilidhamiria hulishikilia.
Devotion A great love or loyalty, enthusiastic zeal. Hii inaonekana machoni.
Diligence Conscientiousness in paying proper attention to a task; giving the degree of care required in a given situation. Persevering determination to perform a task hii inathibitishwa na utendaji wake.
Discernment The ability to distinguish; judgement; Discrimination; To distinguish between things; To perceive differences that exist. Hili lilionekana kwenye BMK.
Discretion Being discrete in ones speech, keeping secrets nilipofanya nae mahojiano kuhusu Muungano hili nililiona. Ukiwa kiongozi kuna mambo unayoana sio ila sio lazima uyaseme you just keep them. Wakati wa Nyerere watu kibao walistaafishwa kwa manufaa ya umma na kukumbwa na fagio la chuma ila sababu hazikutolewa. Kwenye hii tumbua tumbua kuna double standards za hali ya juu wengine wakidhalilishwa wengine wakikingwa na kuengwa engwa.
Discipline The trait of being well behaved and under control. Tangu kwenye dress code yake discipline inaonekana wazi.
Eloquence Powerful and effective language. Fluent, persuasive and articulate speech. Akihutubia huchoki kumsikiliza, she doesn't shout, she just speaks eloquently.
Empathy Identification with and understanding of another's situation, feelings, and motives. Hili limeonekana alipozungumzia mateso kwa wanawake.
Enthusiasm A feeling of excitement. Exuberance: overflowing with eager enjoyment or approval. Yuko very enthusiastic kwenye BMK lilionekana.
Excellence The quality of excelling; possessing good qualities in high degree. Hapa yuko vizuri shule,shule kweli.
Faith Complete confidence in a person, plan or set of beliefs kwenye dini yake.
Faithfulness Steadfast in affection or allegiance; loyal haya ni maisha binafsi ila hata mnongono haujawahi kusikika!.
Flexibility Adaptable, able to be changed to suit circumstances. Yuko very flexible.
Focus Concentrated awareness and effort. Yuko very focused, huyu sio mtu wa leo kusema hivi kisha kesho kusema vile.
Forbearance Restraint under provocation; patience: good-natured tolerance of delay or incompetence. Ni kitendo tuu cha kuwa msaidizi wake hadi leo kwa kuizingatia nature ya bosi wake.
Forgiveness To cease to feel angry or bitter towards a person or about an offense. Hili tumeliona kwenye mambo ya muungano na religious tolerance kwenye BMK.
Fortitude Strength of mind that enables one to endure adversity with courage.Ana very good management of diversity.
Friendliness Agreeableness is a tendency to be pleasant and accommodating. Yuko very friendly kuongea nao, she is easy to talk too unaweza kumuuliza swali lolote au kuongea nae chochote.
Frugality Prudence in avoiding waste. Being economical with resources. Alipokuwa waziri hili lilionekana.
Generosity Giving or ready to give freely, free from meanness or prejudice. Yuko very generous, so giving ndio maana anaishi na wajukuu zake kibao.
Gentleness Moderate; mild, quite; not rough or severe. She is very gentle hata ongea yake.
Grace Elegance and beauty of movement or expression. Haya tuyaache. ..
Gratitude Being thankful. Unaiona usoni.
Helpfulness The quality of providing useful assistance. Ni mtu wa usaidizi sana.
Honesty Truthful; sincere; not lying or cheating. Anaonekana usoni, machoni ndio maana nikasema yuko very genuine.
Honor Not disposed to cheat or defraud; not deceptive or fraudulent. Worthy of being honored. Hii ni wazi.
Hope The general feeling that some desire will be fulfilled. Let's hope for the best for her.
Humbleness Modest; not arrogant or boastful. Yuko very humble na down to earth, yaani ni mnyenyekevu mpaka.
Humility A disposition to be humble; a lack of false pride. Nimeishalisemea.
Humor The ability to perceive, enjoy, or express what is amusing, comical, incongruous, or absurd. Hata alipokuwa akihojiwa mpaka raha.
Idealism High mindedness: elevated ideals and conduct; the quality of believing that ideals should be pursued.
Integrity Moral soundness; Integrity is consistency of values and actions. Unbroken completeness with nothing lacking.
Impartiality Fair. An inclination to weigh both views or opinions equally without bias.
Industry Diligent, hardworking.
Innocence Guileless, not guilty.
Joyfulness The emotion of great happiness
Justice Fair, impartial, giving a deserved response.
Kindness Friendly, helpful, well meaning.
Knowledge Part of the hierarchy made up of data, information and knowledge. Data are raw facts. Information is data with context and perspective. Knowledge is information with guidance for action based upon insight and experience.
Liberality An inclination to favor progress and individual freedom the trait of being generous in behavior and temperament.
Love A deep, tender, ineffable feeling of affection and solicitude toward a person, such as that arising from kinship, recognition of attractive qualities, or a sense of underlying oneness.
Loyalty Steadfast in allegiance to one's homeland, government, or sovereign. Faithful to a person, ideal, custom, cause, or duty.
Magnanimity The virtue of being great of mind and heart. It encompasses, usually, a refusal to be petty, a willingness to face danger, and actions for noble purposes.
Majesty Great and impressive dignity.
Meekness The feeling of patient, submissive humbleness; a disposition to be patient and long suffering.
Mercy Clemency: leniency and compassion shown toward offenders by a person or agency charged with administering justice.
Moderation The avoidance of extremes in one's actions or opinions.
Modesty Freedom from vanity or conceit. Not inclined to boast.
Obedience Willingness to obey, to be controlled when necessary, to carry out orders.
Openness Ready and willing to talk candidly.Unsecretive.
Orderliness Neatness and tidiness. A personality trait which involves the organization of things into a state of order and symmetry. The quality of appreciating method and system.
Patience The ability to endure delay, trouble, pain or hardship.
Peace Freedom from mental agitation; serenity.
Perseverance Being persistent, refusing to stop despite failures, delays and difficulties.
Persistence Never-ceasing, relentless.
Piety Humble devotion to a high ideal.
Prudence Wise or careful in conduct. Shrewd or thrifty in planning ahead.
Punctuality The quality or habit of adhering to an appointed time.
Purity Freedom from defilement. Undiluted or unmixed with extraneous material. Unsullied by sin or moral wrong.
Purposefulness Having a definite goal.
Reliability Can be trusted to do something.
Resoluteness The quality of being firm in purpose.
Resourcefulness The ablility to act effectively or imaginatively, especially in regard to difficult situations and unusual problems.
Respect Admiration for others. Treating people with due dignity.
Responsibility Having control over and accountability for appropriate events.
Restraint Holding Back.
Reverence Profound awe and respect.
Righteousness Adhering to moral principles. Holiness.
Selflessness The quality of unselfish concern for the welfare of others.
Self Sacrifice The giving up of one's own benefit, especially giving up one's life, for the good of others.
Service Work done by one person or group that benefits another.
Sensitivity Heightened awareness of oneself and others within the context of social and personal relationships.
Silence Inner peace. Being silent.
Simplicity Straightforward; not complex or complicated. Unpretentious.
Sincerity Free from pretense or deceit in manner or actions.
Sobriety Serious, solemn and calm. Free from intoxication.
Spontaneity Natural, not planned.
Steadfastness Firm, resolute; determinedly unwavering.
Strength Capable of exerting great force.
Tact Consideration in dealing with others and avoiding giving offense.
Temperance Moderation and self-restraint, as in behavior or expression. Restraint in the use of or abstinence from alcoholic liquors/intoxicants.
Thankfulness Warm friendly feelings of gratitude.
Thrift The characteristic of using a minimum of something. Saving.
Tolerance Tending to permit, allow, understand, or accept something; tending to withstand or survive.
Toughness Strong and durable; not easily damaged.
Tranquility Serenely quite and peaceful; undisturbed.
Trust Having confidence in others; lacking suspicion.
Trustworthiness Able to be trusted or depended on; reliable.
Truthfulness Accurately depicting what is real.
Understanding Comprehension, assimilation of knowledge. The holistic awareness of facts.
Unity Freedom from division. Oneness.
Vitality Exuberant physical strength or mental vigor, energy.
Wisdom The trait of utilizing knowledge and experience with common sense and insight.
Wonder The feeling aroused by something strange and surprising.
Zeal Ardor. A feeling of strong eagerness. Tireless devotion.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.
Paskali