Dkt. Tulia umelikoroga, acha ulinywe!

Dkt. Tulia umelikoroga, acha ulinywe!

Tulia kukosa kwake nyadhifa sidhani inamuathiri kiasi hicho Kama tunavyomzungumzia yule dada ana hela vibaya mno,nyumba yake yenyewe ni hekalu, ana vitega uchumi vingi
 
unaandika ni kama vile kafukuzwa kazi, sasa alinywe kivipi wakati ni spika mstaafu na full privilleges za uspika na bado ni mbunge ? …
 
Uchawa na dhulma dhidi ya Rasilimali za Tanganyika (Bandari) hazitakuacha salama. Wacha yakukute.
Stress zinazeesha
1763438131656.jpg
 
Tulia kukosa kwake nyadhifa sidhani inamuathiri kiasi hicho Kama tunavyomzungumzia yule dada ana hela vibaya mno,nyumba yake yenyewe ni hekalu, ana vitega uchumi vingi
Kama mijengo na vitega uchumi vinatuliza roho kuliko madaraka, basi Samia na genge lake wasingefanya waliyofanya ili kujibakisha madarakani, maana wana pesa na ukwasi chekwa.
 
Sio kila mtu ana obsess kiasi hicho na madaraka ukilijua hili halitakusumbua
 
Back
Top Bottom