Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X
"Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu...
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and...
Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya...
The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened?
Video Credit: kavaziOfficial (YT)
1. Introduction:
The death of John Pombe Magufuli, the fifth President of Tanzania, on March...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa...
Wanabodi,
https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek
https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Hii Makala yangu kuhusu Maadhimisho ya Miaka...
Utangulizi
Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro
Mheshimiwa Waziri,
Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao...
Wizara ya Ardhi inakualika kufuatilia uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la Mwaka 2023) kupitia YouTube Live! 📺
📅 Tarehe: 17 Machi 2025
🕘 Muda: Kuanzia saa 2:00...
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ?
1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo...
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024.
Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu.
Hakuna kugomea matokeo wala...
Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha
"Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna...
Mtangazaji huyu nguli ameyasema haya kama ushauri kwa rais, akiwa kwenye viwanja vya sabasaba akitangaza kwa niaba ya PPR.....
Amegusia suala la kuminywa kwa mikutano ya siasa hivi sasa....ila...
Wanabodi
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla, au kwa jina maarufu humu, Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature...
Huwa nashangazwa sana hasa nikideposit pesa kwa hawa mawakala wa crdb.
Nikideposit tu napewa risit. Mwishoni mwa risiti imeandikwa eti "kitu kimesimama. Plz ondoeni haraka .
Wakuu
Naomba tujenge hoja kama Magufuli alikuwa anakubalika kwanini alikuwa anaogopa uchaguzi?
Yaani unawezaje kupima kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa wakati anaogopa uchaguzi .
Rejea...
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.