CHADEMA kurudi 2025

CHADEMA kurudi 2025

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,858
Reaction score
25,759
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024.
Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu.

Hakuna kugomea matokeo wala kushinda kituoni maana utapata kichapo cha mbwa koko.

Mnyika,Lema,Mbowe ,na wengine wengi leo wasingekuwa wabunge kama wananchi wasingekomaa vituoni.

Watakao bisha wata RIP na kupotea kabisa.
Nawashauri kipindi hiki tumwombe Mungu kama si mpango wake basi atuondoe sisi ama yule mtesi wetu.
Nchi nzima kila mtu analia shida alafu Jiwe anasema uchumi unapaa,Hakuna nafuu kwa mtu yeyote.

Sikuhuzi hat tendo la ndoa watu hawafurahiu wakimuwaza Jiwe.

Hapo bado hajabadili noti zote ili wenye hela kwenye sandarusi waumbuke.​
 
CHADEMA 2020 afadhal kabsa wasigombee hawataambulia kitu
 
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024.
Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu.

Hakuna kugomea matokeo wala kushinda kituoni maana utapata kichapo cha mbwa koko.

Mnyika,Lema,Mbowe ,na wengine wengi leo wasingekuwa wabunge kama wananchi wasingekomaa vituoni.

Watakao bisha wata RIP na kupotea kabisa.
Nawashauri kipindi hiki tumwombe Mungu kama si mpango wake basi atuondoe sisi ama yule mtesi wetu.
Nchi nzima kila mtu analia shida alafu Jiwe anasema uchumi unapaa,Hakuna nafuu kwa mtu yeyote.

Sikuhuzi hat tendo la ndoa watu hawafurahiu wakimuwaza Jiwe.

Hapo bado hajabadili noti zote ili wenye hela kwenye sandarusi waumbuke.
Leo umeamka na hilo upinzani ukifutika wewe unapata faida gani,, namashaka na akili yako ndiyo umetumwa au unajituma? Shame on you guy,,
 
CHADEMA 2020 afadhal kabsa wasigombee hawataambulia kitu
Sheria ya vyam vya siasa inawalazimu wagombee ila watapata makosa ya jinai,watapotea,watabambikiwa kesi za ajabu ajabu na pia wata rest in peace kama Alphonse Mawazo na wenzake ambao wauaji wanafahamika lakini walitumwa.
 
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024.
Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu.

Hakuna kugomea matokeo wala kushinda kituoni maana utapata kichapo cha mbwa koko.

Mnyika,Lema,Mbowe ,na wengine wengi leo wasingekuwa wabunge kama wananchi wasingekomaa vituoni.

Watakao bisha wata RIP na kupotea kabisa.
Nawashauri kipindi hiki tumwombe Mungu kama si mpango wake basi atuondoe sisi ama yule mtesi wetu.
Nchi nzima kila mtu analia shida alafu Jiwe anasema uchumi unapaa,Hakuna nafuu kwa mtu yeyote.

Sikuhuzi hat tendo la ndoa watu hawafurahiu wakimuwaza Jiwe.

Hapo bado hajabadili noti zote ili wenye hela kwenye sandarusi waumbuke.
Pascal Mayalla huenda likatimia?
 
Back
Top Bottom