Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumanne Machi 18.2025 kimemueleza Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusiana na msimamo wake wa 'No Reform, No Election' Akizungumza na wanahabari nje...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
0 Reactions
2 Replies
263 Views
JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU. Leo 13:15hrs 04/02/2023 Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat tunamaanisha mambo kama haya. I'm very glad hii discussion ya Wachina inaendelea na hata wanasiasa wameanza kugusia...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Mfanyabiashara wa huduma za kifedha (wakala), Davis Mandari (48), mzaliwa wa Kilimanjaro na mkazi wa Kwa Mrefu, jijini Arusha, ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Inadaiwa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi nahitaji kujiunga na BBT mradi wa kilimo ningependa kujua umefikia wapi. Maana VETA sitoweza Naomba ufafanuzi Ahsante.
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo...
2 Reactions
8 Replies
792 Views
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
8 Reactions
80 Replies
2K Views
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa Bw. Mohammed Ali Kawaida amesema wapinzani hawajajipanga na hawana ushawishi wa kusimama na wagombea wateule wa urais CCM, Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Bw. Stephen Wasira amewasili Mkoa wa Mbeya kwa ziara ya siku nne kuanzia Machi 17-20, huku akitoa maagizo mazito kwa halmashauri zote...
0 Reactions
10 Replies
896 Views
Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita! Denis Mpagaze _________________________ Ni mwaka wa nne sasa Mzee John Pombe Magufuli amelala! Namisi sana ziara zake, hotuba zake, utani wake...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku moja baada ya mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi, Omari Mahita kutoa ushauri wa kukabiliana na changamoto za wanasiasa, vyama vya upinzani vimesema hauna mashiko na unajenga uadui kati ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayosema “WEZI WAIBA BASI LA POLISI MKOANI MBEYA” na kuiomba Jamii kupuuza taarifa hiyo kwani...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Back
Top Bottom